mi niulize kuhusu messi usiniulize kuhusu mata ko na ujinga wa mourinhoSio kauzu fc
Unajua kwann Mata japo ni mchezaji mzuri ila Mourhino alimuuza akiwa Chelsea kuja Man utd.
Unajua kwann Pogba anapata shida kidogo man utd...
Tunarudi pale pale Mata alikua hakabimi niulize kuhusu messi usiniulize kuhusu mata ko na ujinga wa mourinho
Muda mwingine tuwe wakweli tu!! kwani kuna timu ambayo haina mtu mwenye majukumu ya kutibua mbinu za wapinzani? Man U vs Liverpool umeangalia mpira umeona jinsi Felain anavyotibua mipango ya wapinzania hizo kila mtu uwanjani anamajukumu yake aliyopewa na mwalimu hivo kumkosoa fulani kisa yupo fulani ni ujinga.... Messi kwa Barca ni mtu anaetegemewa kuanzisha mashabulizi na unaweza kuona jinsi gani akiwa na mpira anavyoweza kufungua mabeki na ndio kitu ambacho kina credity kubwa kule mbeleTunarudi pale pale Mata alikua hakabi
Pogba alikua amezungukwa na watu kama kina Claudio Marchisio/pirlo jukumu la kukaba lilikuwa kidogo sana
Kaja man utd kapewa jukumu la kukaba
Kama umeingia game ya jana Carrick kacheza no 6 pogba kaachwa awe free that why kapiga mwingi jana
Maneno ya Owen Hagrevas Pogba na Carrick wacheze pamoja.
Huwezi kuizungumzia barca bila kumtaja Sergio bosequet yule ndo mtibua mipango yote ya timu pinzani
Naunga mkono hoja ndugu sijakataa Messi ni mchezaji aliyekamilika ndo maana anashinda tuzo mbalimbaliMuda mwingine tuwe wakweli tu!! kwani kuna timu ambayo haina mtu mwenye majukumu ya kutibua mbinu za wapinzani? Man U vs Liverpool umeangalia mpira umeona jinsi Felain anavyotibua mipango ya wapinzania hizo kila mtu uwanjani anamajukumu yake aliyopewa na mwalimu hivo kumkosoa fulani kisa yupo fulani ni ujinga.... Messi kwa Barca ni mtu anaetegemewa kuanzisha mashabulizi na unaweza kuona jinsi gani akiwa na mpira anavyoweza kufungua mabeki na ndio kitu ambacho kina credity kubwa kule mbele
unashauli nini sasa? unahitaji messi awe anakaba? hata mfumo wa barca hautiji hivyo, wanautawala sana mpira na wanashambulia mda wote, ndio maana suarezi alikuwa anakaba liver lakini alivyoenda barca aka lelax... soccer ni mfumo usiishi kwa kukalili broh.Tunarudi pale pale Mata alikua hakabi
Pogba alikua amezungukwa na watu kama kina Claudio Marchisio/pirlo jukumu la kukaba lilikuwa kidogo sana
Kaja man utd kapewa jukumu la kukaba
Kama umeingia game ya jana Carrick kacheza no 6 pogba kaachwa awe free that why kapiga mwingi jana
Maneno ya Owen Hagrevas Pogba na Carrick wacheze pamoja.
Huwezi kuizungumzia barca bila kumtaja Sergio bosequet yule ndo mtibua mipango yote ya timu pinzani
Jifunze kwanza Philosophy ya Barca ndio itayo kupa majibu mazuri.Aya mfanyakazi wa superspost 3.
Tupe maoni yako Ndugu sijui umetumia vigezo gani kusema sijui mpira
Ok wewe unajua
Game ya dhidi ya Celta vigo barca anakula 4-3 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ndo game Messi alipata injury.unashauli nini sasa? unahitaji messi awe anakaba? hata mfumo wa barca hautiji hivyo, wanautawala sana mpira na wanashambulia mda wote, ndio maana suarezi alikuwa anakaba liver lakini alivyoenda barca aka lelax... soccer ni mfumo usiishi kwa kukalili broh.
Well both of you... Mpo wrong. Wewe na huyo Rakitic wako.Wakujifunza mimi au Rakitic??ok labda ungetaka Rakitic asemaje?
Umekua Luis Enrique nini??Well both of you... Mpo wrong. Wewe na huyo Rakitic wako.
Na jibu ni lile lile refer kwenye philosophy ya Barca.
Ukweli mtupu....kabla INIESTA, XAVI walibeba mafanikio ya Messi
Ebu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....
Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.
Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Ukiambiwa mpira umeanza kuufuatilia juzi unabisha huyo messi aliye umia kwenye game ya celta vigo ni messi yupi???Game ya dhidi ya Celta vigo barca anakula 4-3 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ndo game Messi alipata injury.
Iniesta/Rakitic hawakuanza ile game alianza Sergio timu ilicheza ovyo sana hasa upande wa kiungo,Iago Aspas alikua huru sana
Ila baada ya Iniesta kuingia timu ikarudi mchezoni na kufanikiwa kurudisha goli tatu...
Ushauri tukubali Rakitic kasema ukweli mtupu
Naona ugonjwa ya ebora unakusumbua mkuu.Ebu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....
Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.
Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Argentina nayo imeundwa kupitia Messi?Ni maoni yake ndugu...msimu uliopita messi alikaa nje sana ila bado Neymar na Suarez walisaidia timu mpaka ikabeba kikombe cha laliga.
Ushindi unakua mgumu kwa sababu timu imeundwa kupitia Messi
Mimi ni Barca fan, hapa umeongea hovyo kabisa na nnahisi una kitu moyoni juu ya Messi.Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi
Napenda teamwork
Yaani alivyo mtupu kichwani, hajua hata hiyo MSN ni Messi ndo anaiinua, na amefanikiwa kuiinua sababu hana ubinafsi.Messi anaongoza kwa assist hater
Kinachowaumiza ni kwamba Messi anagonga Hat Trick dhidi ya timu kubwa sio kama ronaldo.Mkuu huyu inanekana ni mtu wa vijiweni haangaliagi mpira....mwache aendelee na uHater