Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Kaka uliona lile Goal lake la 3 dhidi ya Man City jinsi alivyomfanya kipa?
Haaaa haaa hiyo inaitwa fake shots , anafanyaga messi tu dunia hii ,, kipa aliruka akajua anadaka mpira then messi akauwahi na kuuondoa kwenye position , messi ana acceleration ya hali ya juu anakuwekea mpira ukileta tamaa ukaurukia anauwahi na kuuondoa then unabaki chini .. hii anawafanyia mabeki sana sana wale wanaopenda tackling
 
Messi atoke nje ya Barca tuone umalidadi wake. ...
 
kama kweli messi ni mwanaume mwambie ahame ligi kama cr7 na kadabra na akiweza kuperfom kama ilivo baca basi hata gaucho hamuwezi uyo ness messi
we acha kutumia hiyo Tecno yako tuone kama utaweza kuingia jf?.kwanini mnalazimisha aende timu dhaifu? unajua Pele alicheza ligi ngapi?
 
Reactions: PNC
MSM ni washambuliaji, kuzuia sio kazi yao, na pili formation ya barca ni 4-3-3, na pattern ni 1-8-1
Hebu niambie Barca msimu karuhusu goli ngapi?

Kama sikosei atl madrid 4

Real madrid 8

Hebu nipe za barca msimu huu laliga??
 
nafikiri unafahamu kuwa tiki-taka ni advanced form of total football.
 
Ooh asante
Mpira wa Spain ni Tactic watu wanakaba njia

Mpira wa kiingereza ni Physic watu wanakaba mtu na nguvu nyingi(man to man game)

Akija ligi kama ya uingereza ataperform ila atapata ugumu.

Mfano Arsenal wenger kajaribu mfumo wa pasi nyingi ila kashindwa kuchukua kikombe

Kaja D mateo na mfumo wa kupaki kabeba UEFA

Timu nyingi zinazobeba Vikombe uingereza hazina mambo mengi Pasi tano Goli mwisho wanachukua kikombe
 
Ligi ya EPL haina tofauti na VPL

hvyo usiimlazmishe KING kucheza ligi mbovu

KUMBUKA kitu bora kinapatikana ligi bora
 
Ligi ya EPL haina tofauti na VPL

hvyo usiimlazmishe KING kucheza ligi mbovu

KUMBUKA kitu bora kinapatikana ligi bora
 
Messi atoke nje ya Barca tuone umalidadi wake. ...
Messi vs Arsenal
Messi vs Man UTD
Messi vs Man City
Messi vs Chelsea
Messi vs PSG
Messi vs Bayern Munchen
Messi vs R Madrid

Huko kote kacheza na alionyesha kiwango cha hali ya juu, sasa unapotaka ahame unataka aje Acheze na Lipuli & Mbao FC ndio udhibitishe umaridadi wake?.
 
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] NAOMBA HII THREAD IFUNGWE MAANA UMEMALIZA KILA KITU
 
naona umejifanya haujaelewa nilichokuwa namaanisha........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…