GE2025 Bila shaka Balozi Polepole anatafuta shari na huenda amejiandaa kwa shari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Analo genge lake nyuma na watu hawa ni hatar Kwa taifa .
Watz tunatakiwa kua makin Sanaa.
Vingenevo tutacheza ngoma tusio ijua
 
Mnamjadili vipi mtu kama huyo polepole aliye tumika kuvuruga chadema kipindi cha jpm?

Chadema wakiitwa nyumbu wanakasurika
Saiv ndio kama msemaji wao na hapo akienda chadema cheo anapata
Ilitokea Kwa lowasa hawakujifunza
 
Naomba kuuliza,Mama Samia anaweza kwenda kuchukua fomu ya urais bila kua na fomu ya uteuzi ya chama?
Hivi awamu ya pili ya Dr.Magufuli ni wagambea wangapi walichukua fomu kushindana na JPM?
Hoja yako isikilizwe
 
Unafikiri alichokiongea ndio ukweli wenyewe? Hivi kati ya slow slow wa tume ya warioba, utawala wa mwenda zake na huyu wa sasa nani mkweli?
Mim polepole wa toka katiba mpya namuon ni yuleyule mwaya ingia YouTube search umsikilizs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…