Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

Mgombea mwenza wa mgombea urais huwa anagombea nini!?
 
Watanzania wengi hawajui kama Tanzania ndio Chanzo cha Baraka kwa mataifa yote na ndio Taifa Baba kwa kuwa ufalme wa Mungu Baba umehamia Tanzania na sio Taifa mwana tena (Israel).

Ukisoma aliyosema Yesu miaka 2000 iliyopita ndio yanayotokea sasa katika;-

Mathayo 21:43
“Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu(Israel), nao watapewa taifa lingine (Tanzania) lenye kuzaa matunda yake.”
 
Mgombea mwenza wa mgombea urais huwa anagombea nini!?
Hana anachogombea nadhani! Labda tuanzie kwenye utaratibu wa kumpata mgombea mwenza kwanza ili tujue kama ana maana hiyo unayotaka kuisema!
 
 
Hizo ni ishara za Mwisho wa nyakati, una Heri wewe uliye yaona na kuyatafakari haya. Soma Biblia Mathayo 24.
 
Hujaimention corona, hujamuweka Magufuli kwenye list ya viongozi waliopata kuiongoza hii nchi. Hii thread yako imekaa kimkakati sana. Uliona ukiiweka corona lazima utamtaja Magu, ukaona bora uvisahau vyote kwa makusudi. WEWE NI MNAFKI!
Mpumbavu hujifanya kusahau baadhi ya matukio hata kama anayakumbuka.
 
Tz tunepata hizo shida

Refer KIPINDUPINDU
Refer Mabomu ya Mbagar na Gomz
Refer Meli kuzama(Bkb, Mv Spice)
Refer Ongezeko la Ajari
Refer Homa ya Dengue

tunapitia majanga ingawa ni INDIRECT way (mostly ni Man Made disasters)
 
Katikati ya corona akaenda wapi?
 
Hana anachogombea nadhani! Labda tuanzie kwenye utaratibu wa kumpata mgombea mwenza kwanza ili tujue kama ana maana hiyo unayotaka kuisema!
Karatasi ya mpiga kura inakuwa na picha mbili,KANUSHA!
Zote zinatengewa chumba kimoja Cha kuweka alama ya vema au vyovyote.
Hivyo SSH alichaguliwa kuwa Makamu wa Rais Kwa kura zile zile alizopata yule Rais wako na baadaye Machi 19, akaapishwa kuwa Rais Kwa kura zile zile za awali alipokuwa mgombea mwenza.

Habari hii bila shaka utakuwa ni mkuki Kwa wengi
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…