Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgombea mwenza wa mgombea urais huwa anagombea nini!?Sema ulichotaka kusema....siamini kama hujui kuwa Samia ndio sio raisi wa kuchaguliwa hapo, na huyo uliyemuacha pengine ndo anamchango mkubwa kwenye mshikamano kwa asilimia kubwa ya wananchi wa sasa, alileta elimu dunia kidogo, watu wakafunguliwa macho.
Gharama za mwenge ni MAKAFARA YA KILA MWAKA YA AJALI NA MATUKIO MBALIMBALI YA VIFO.
Hana anachogombea nadhani! Labda tuanzie kwenye utaratibu wa kumpata mgombea mwenza kwanza ili tujue kama ana maana hiyo unayotaka kuisema!Mgombea mwenza wa mgombea urais huwa anagombea nini!?
Kwa nini huitwa mgombea mwenza!?Hana anachogombea nadhani! Labda tuanzie kwenye utaratibu wa kumpata mgombea mwenza kwanza ili tujue kama ana maana hiyo unayotaka kuisema!
Aah,, labda mwenge unasaidia?. 😂😂Ofcz inafikirisha sana...
Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya nchi inayoonekana hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia sheria yake imetukinga watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka nyuma kwa nchi majirani; Mozambique, Malawi, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya utanielewa kipi namanisha naposema Kinga ya nchi hii sio ya mchezo.
Kabda ya yote ngoja niwapatie tu majanga ya rejareja ambayo majirani zetu wanaishi nayo.
Msumbiji - kimbunga freddy 2023, kipindupindu 2022, kimbunga gombe 2022, kimbunga kenneth 2019.
Malawi - cyclone freddy 2023, cholera 2022, polio 2022, ukame 2018-22, kimbunga combe.
Zambia - mafuriko, ukame 2018-2022, kipindupindu 2023.
DRC - mafuriko 2022, volcano 2021, ebola 2022, kipindupindu 2022, polio 2018, vita wenyewe kwa wenyewe. Hii nchi wakazi wake wanajua kila aina ya majanga.
Burundi - mafuriko 2021, maporomoko 2020, kipindupindu 2019.
Rwanda - mafuriko 2021, upepo mkali 2021, viwavi 2017, HINI 2009
Uganda - mafuriko 2022, nzige 2019, kipindupindu 2018, ebola 2022
Kenya - mafuriko 2021, ukame 2014-23, nzige 2019, viwavi 2017, kipindupindu 2022, yelow fever 2022, dengue 2021, polio 2018. Inashangaza sana Wakenya na kingereza chote lakini bado wanahaha na kipindupindu.
Tofauti na majirani zetu enyi watanzania shuhudieni jinsi mama yetu Tanzania alivyotulinda na haya majanga.
Tanzania - alitaka kuja Jobo mwaka 2021 akapulizwa, Kenneth naye mwk 2019 alifanywa hivyo hivyo, naye jiwe akapambana na ebola na zika. Hii nchi haina mfano dunia nzima, watanzania sisi japo hatujui sisi sio wa kubezwa hata kidogo, bila shaka tuna sehemu yetu kwenye ufalme wa Mungu.
Lakini, ndugu zangu mda mwingine napatwa na mashaka vikundi na usalama mkubwa uliopo kwenye amani ya nchi yetu. Ukitazama kenya, Mozambique, uganda, rwanda, congo, burundi hali ni tafrani wao kwa wao wanafanyiana unyama. Na siku zote ndugu wakigombana kuna adui anayewachonganisha kwa kutumia sababu za siasa, malighafi au dini ili apate maslahi yake. Sasa mbona huyo adui hajatugombanisha mpaka leo watanzania ana mpango gani na sisi, au akishawamaliza anakuja kuishi hapa nchini kwetu.
Labda usalama huu kutoka kwa majanga makubwa ni kutokana na kuwa na nafuu ya uongozi wenye kufuata haki za kisheria. Hivyo kinga ni kama baraka, tumekuwa na nyerere, mwinyi, mkapa, Kikwete, Samia. Kama alivyobarikiwa Ibrahim wa Israel basi nasi huko nyuma kuna mwamba tunatembea na baraka zake. Inashangaza sana kasikazini hatari kusin hatari mangaribi hatari na mashariki wapo ndugu zetu na marafiki zetu wazanzibari na sisi tupo salama katikati. Tuwapende sana wazanzibari, ukiangalia kipindi hiki tunapata kipimo cha kipimo chetu, tunafurahi , watoto wetu wanatoka nje wanaruka ruka kwenye matonye ya mvua yasio na hila yoyote ile.
Ewe mama yetu Tanzania tunakushukuru sana sisi watoto wako, ingawa tunakukwangua udongo wako na kuwapa wengine tunaomba utusamee.
Picha la kutisha kutoka shambani
Hizo ni ishara za Mwisho wa nyakati, una Heri wewe uliye yaona na kuyatafakari haya. Soma Biblia Mathayo 24.Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya nchi inayoonekana hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia sheria yake imetukinga watoto wake.
Ukipitia twakimu kwa miaka nyuma kwa nchi majirani; Mozambique, Malawi, Zambia, DRC, Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya utanielewa kipi namanisha naposema Kinga ya nchi hii sio ya mchezo.
Kabda ya yote ngoja niwapatie tu majanga ya rejareja ambayo majirani zetu wanaishi nayo.
Msumbiji - kimbunga freddy 2023, kipindupindu 2022, kimbunga gombe 2022, kimbunga kenneth 2019.
Malawi - cyclone freddy 2023, cholera 2022, polio 2022, ukame 2018-22, kimbunga combe.
Zambia - mafuriko, ukame 2018-2022, kipindupindu 2023.
DRC - mafuriko 2022, volcano 2021, ebola 2022, kipindupindu 2022, polio 2018, vita wenyewe kwa wenyewe. Hii nchi wakazi wake wanajua kila aina ya majanga.
Burundi - mafuriko 2021, maporomoko 2020, kipindupindu 2019.
Rwanda - mafuriko 2021, upepo mkali 2021, viwavi 2017, HINI 2009
Uganda - mafuriko 2022, nzige 2019, kipindupindu 2018, ebola 2022
Kenya - mafuriko 2021, ukame 2014-23, nzige 2019, viwavi 2017, kipindupindu 2022, yelow fever 2022, dengue 2021, polio 2018. Inashangaza sana Wakenya na kingereza chote lakini bado wanahaha na kipindupindu.
Tofauti na majirani zetu enyi watanzania shuhudieni jinsi mama yetu Tanzania alivyotulinda na haya majanga.
Tanzania - alitaka kuja Jobo mwaka 2021 akapulizwa, Kenneth naye mwk 2019 alifanywa hivyo hivyo, naye jiwe akapambana na ebola na zika. Hii nchi haina mfano dunia nzima, watanzania sisi japo hatujui sisi sio wa kubezwa hata kidogo, bila shaka tuna sehemu yetu kwenye ufalme wa Mungu.
Lakini, ndugu zangu mda mwingine napatwa na mashaka vikundi na usalama mkubwa uliopo kwenye amani ya nchi yetu. Ukitazama kenya, Mozambique, uganda, rwanda, congo, burundi hali ni tafrani wao kwa wao wanafanyiana unyama. Na siku zote ndugu wakigombana kuna adui anayewachonganisha kwa kutumia sababu za siasa, malighafi au dini ili apate maslahi yake. Sasa mbona huyo adui hajatugombanisha mpaka leo watanzania ana mpango gani na sisi, au akishawamaliza anakuja kuishi hapa nchini kwetu.
Labda usalama huu kutoka kwa majanga makubwa ni kutokana na kuwa na nafuu ya uongozi wenye kufuata haki za kisheria. Hivyo kinga ni kama baraka, tumekuwa na nyerere, mwinyi, mkapa, Kikwete, Samia. Kama alivyobarikiwa Ibrahim wa Israel basi nasi huko nyuma kuna mwamba tunatembea na baraka zake. Inashangaza sana kasikazini hatari kusin hatari mangaribi hatari na mashariki wapo ndugu zetu na marafiki zetu wazanzibari na sisi tupo salama katikati. Tuwapende sana wazanzibari, ukiangalia kipindi hiki tunapata kipimo cha kipimo chetu, tunafurahi , watoto wetu wanatoka nje wanaruka ruka kwenye matonye ya mvua yasio na hila yoyote ile.
Ewe mama yetu Tanzania tunakushukuru sana sisi watoto wako, ingawa tunakukwangua udongo wako na kuwapa wengine tunaomba utusamee.
Picha la kutisha kutoka shambani
Mpumbavu hujifanya kusahau baadhi ya matukio hata kama anayakumbuka.Hujaimention corona, hujamuweka Magufuli kwenye list ya viongozi waliopata kuiongoza hii nchi. Hii thread yako imekaa kimkakati sana. Uliona ukiiweka corona lazima utamtaja Magu, ukaona bora uvisahau vyote kwa makusudi. WEWE NI MNAFKI!
Wakina Dijja Mpemba hehehIla nna wasiwasi Asha zungu na wenzake kule telegram kuna siku watatuponza 🤭
Kila Jambo na wakati wake,,Mungu anaipenda Tanzania, kuna janga lingine alituondolea miaka miwili iliyopita. Ashukuriwe na ahimidiwe milele
Katikati ya corona akaenda wapi?NA CORONA PIA ILITOKOMEA CHINI YA JEMEDARI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.
Najua hautaki kumtaja Magufuli kwa sababu roho lako limejaa ufisadi mtupu.
Mungu asante kwa kutupa Magufuli, KWA HAKIKA NCHI IMEPONA KWELI KWELI.
MAJIZI na MADALALI YA CHANJO sijui yalitokomea wapi!!!?? Hatukuyaona tena tangiapo!!!
Katikati maana yake nini?Katikati ya corona akaenda wapi?
Karatasi ya mpiga kura inakuwa na picha mbili,KANUSHA!Hana anachogombea nadhani! Labda tuanzie kwenye utaratibu wa kumpata mgombea mwenza kwanza ili tujue kama ana maana hiyo unayotaka kuisema!
Ukiangalia Mito. Maziwa na Milima. Unaweza kuta Tanzania ndio ilikua bustani ya Eden