Bila shaka waarabu wataanza kukataa kucheza na Yanga

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa.
Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga.
Club Africain kapigwa za uso kwake
Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga.
USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi.
Hawa Yanga na hata hawaringi
 
Vimba tu ila kwa angalizo la aina ya viwango vya hizo timu zinazokuvimbisha usije ukavimbia upande wa sindano la mwarabu mwenye kiwango ikakutoboa tuuus.

Yanga msimu ujao ina kazi ya kuthibitisha kuwa hawakupata ganda la ndizi wakateleza mpaka fainali.
 
Mpaka kufika fainali
Usma alger kamtoa As Far Rabat ambae anaongoza ligi ya Morocco
Kamtoa Asec Mimosas ambae ni bingwa wa Ivory coast
Hakuwahi kufungwa home ground since mwanzo wa mashindano mpaka Jana
Kwa hiyo unapoongea kua na adabu na Yanga ,wape heshima yao hata kama hupendi
 
Tatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.

Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
 
Apewe heshma ya kitu gani alichokifanya?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.

Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
Kama sio ganja ungeelewa mapema sana
 
Hakuna aliekataa kua tunahitaji improvement baadhi ya maeneo na consistency ya hichi tulichofanya
Kinachopingwa ni hizo mboyoyo zenu kua kila aliefungwa na Yanga ni dhaifu ndio nikakupa mifano hai
 
Tatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.

Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo maana wamechukua kombee, tufanye tukawapokee mabingwa wapya wa CAFCC 2023. LOL
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
aina ya timu zilizofungwa na yanga moja imeshuka daraja, hiyo waliyocheza nayo final iko nafasi ya 10 kwenye ligi na yanga kashindwa kutoboa Sasa waiogope yanga kwa kipi? sana sana wakiiona yanga ipo kwenye makundi ndo watakua wanaitamani Kama demu mpya kaingia kitaa
 
Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa.
Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga.
Club Africain kapigwa za uso kwake
Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga.
USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi.
Hawa Yanga na hata hawaringi
Hakuna mwarabu mwenye akili anayecheza kombe la shirikisho aka.kombe la loosers by Manara Jr. By the way hata huko uarabuni wapo pia KMC na Biashara , sio Kila Mwarabu ni Aly Ahly au Wydad.
 
6ce609b2-aa62-4cba-9f10-5a0cc1d4a109.jpg
 
Back
Top Bottom