MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mpaka kufika fainaliVimba tu ila kwa angalizo la aina ya viwango vya hizo timu zinazokuvimbisha usije ukavimbia upande wa sindano la mwarabu mwenye kiwango ikakutoboa tuuus.
Yanga msimu ujao ina kazi ya kuthibitisha kuwa hawakupata ganda la ndizi wakateleza mpaka fainali.
Tatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.Mpaka kufika fainali
Usma alger kamtoa As Far Rabat ambae anaongoza ligi ya Morocco
Kamtoa Asec Mimosas ambae ni bingwa wa Ivory coast
Hakuwahi kufungwa home ground since mwanzo wa mashindano mpaka Jana
Kwa hiyo unapoongea kua na adabu na Yanga ,wape heshima yao hata kama hupendi
Apewe heshma ya kitu gani alichokifanya?Mpaka kufika fainali
Usma alger kamtoa As Far Rabat ambae anaongoza ligi ya Morocco
Kamtoa Asec Mimosas ambae ni bingwa wa Ivory coast
Hakuwahi kufungwa home ground since mwanzo wa mashindano mpaka Jana
Kwa hiyo unapoongea kua na adabu na Yanga ,wape heshima yao hata kama hupendi
Kama sio ganja ungeelewa mapema sanaTatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.
Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
Bado upo kwenye mihemko ya taharuki ya ule moshi wa kiarabu. Nakuelewa.Kama sio ganja ungeelewa mapema sana
Hakuna aliekataa kua tunahitaji improvement baadhi ya maeneo na consistency ya hichi tulichofanyaTatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.
Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
Kufika fainali ambayo ww imekushinda kufika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ndo maana wamechukua kombee, tufanye tukawapokee mabingwa wapya wa CAFCC 2023. LOLTatizo hampendi challange. Yaani mnataka kusikia mambo perfect tu. Nakuambia mna kazi ya kuthibitisha ubora msimu ujao unakuja na ngonjera za heshima. Suala la Fei nalo ndo hivi hivi, mkiambiwa Fei alistahili motisha kama ya kina aziz K sababu kina Aziz wamemkuta hapo na ni mpambanaji hamtaki kusikia mnataka muonekane mpo perfect tu.
Haya basi, YANGA NI NOMA. SI MWARABU WALA MHINDI WA KUSHINDANA NAYE. JAMAA WANA TIMU IMEKAMILIKA AFRIKA NZIMA.
Hakuna mwarabu mwenye akili anayecheza kombe la shirikisho aka.kombe la loosers by Manara Jr. By the way hata huko uarabuni wapo pia KMC na Biashara , sio Kila Mwarabu ni Aly Ahly au Wydad.Hamna kitu kibaya sasa hivi kwa waarabu Kama wakikutana na Yanga kimataifa.
Chini ya jangwa la Sahara hamna timu inaogopeka Kama Yanga.
Club Africain kapigwa za uso kwake
Monastri hataki kabisa kumsikia Yanga.
USMA ilibidi achome matairi uwanjani ili Mambo yasiwe mengi.
Hawa Yanga na hata hawaringi