Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Watawala waliopo nchi hizo kwa kiwango kikubwa ndiyo waliipa Uingereza "go ahead" ya Uingereza kuianzisha israel.
Kipigo cha juzi kimekukamata kweli kweli , next move ni Ayatollah

Kwani mhanga wa kwanza Hanniyeh?
 
Kwa hiyo ukalete vurugu kwenye nchi 8 ili ukakomboe kaeneo sawa na wilaya ya ilala hizi akili za huyu bibi zipoje shida ni hizi elimu zenu za madrasa
 
Tatizo mbadala wa hizo tawala ni Islamic extremism/radical islam ambayo wengi wa raia wa hizo nchi hawataki kuisikia kabisa.
Baadhi ya jamii za kiarabu zimeanza kustaarabika hazitaki tawala za kidini zenye ukandamizaji mwingi, hawataki vita visivyo na sababu ya msingi Wala kushikamana kwenye mambo yasiyo na tija
 
Sasa bibi ingekuwa hizo tawala zipo chini ya mzayuni mbona hao viongozi wa HAMAS huko Qatar wangelikuwa washakwenda na maji kitambo?
Hufahamu kuwa Hamas kilikuwa ni chombo cha Mazayuni kama ilivyokuwa Al Qaeda kwa Mmarekani?

AlhamduliLlah, uzalendo wao ukawa ni bora zaidi ya kuishi kinafik.
 
Hufahamu kuwa Hamas kilikuwa ni chombo cha Mazayuni kama ilivyokuwa Al Qaeda kwa Mmarekani?

AlhamduliLlah, uzalendo wao ukawa ni bora zaidi ya kuishi kinafik.
Acheni kuwasingizia "mazayuni" kila ujinga wa Waarabu. Mazayuni wanapata wapi muda wa kupoteza kujifunza na kufundisha watu wajilipue ili wakapate sijui mabikira wenye macho kama gololi huko peponi??
 
Kwa mtazamo wangu dada Faiza umeropoka mambo ambayo huna elimu nayo wala hujayafanyia utafiti otherwise kama unalishwa matangopori ya akina khamenei toka Tehran!.
 
Bibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Bibi haamini muda ulishamtupa 😀
 
Bibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Mimi nadhani uzee umemvizia sasa anaanza kuweweseka kwa kuandika mambo ambayo mtu mwenye akili inayojua kutafiti mambo na kutoa matokeo sahihi hawezi kukubaliana na madai yake.
 
Hebu rudia rudia haya maandiko ambayo hayajawahi kuongelewa popote pengine.

1.
Mathayo (Mat) 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

2.
Mathayo 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni
.........
3.
Luka 22:29
Nami nawawekea ninyi ufalme, kama vile Baba yangu alivyoniwekea mimi;

35 Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu? Wakasema, La!
36 Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.
 
Umesema kweli, maadui wa Uislam hawaiwachi ikaishi vizuri. Wameshasema wazi "aidha uwe nasi au ni adui yetu".

Mfano mzuri Afghanistan chini ya Taliban.
Adui mkubwa wa waislamu ni waislamu wenyewe! Na adui mkubwa wa Palestine ni wapalestina wenyewe.
Kama alivyosema mshairi ya kwamba:
نعيب زماننا والعيب فينا وليس لزماننا عيبا سوانا

وليست الذئب تأكل ذئبا ويأكل بعضنا بعضا عيانا
 
Quran hajawahi kusema Palestine ila imesema Israel.

Tulizeni Mshono someni Vitabu vyenu.
 
kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Ni " Crypto Jews " ,
Hizo nchi zinaongozwa na waarabu feki ( crypto Jews ) wengi wenye asili ya mizrahi na mapandikizi .
Kama hufuatilii mambo kwa kina huwezi elewa hii comment .
Kinachowaponza waarabu ni kuwepo Kwa mapandikizi ya mazayuni wa kiarabu wanaoitwa Mizrahi
Hawa ni mapandikizi na ndio spies wanaotumika na Israel kwenye nchi zote za kiarabu , mengine mpaka yanajificha kwa kutumia majina ya kiislamu na kuabudu dini ya kiisalmu ila kiundani ni mazayuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…