Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Madai yao familia ya Al Saud watawala wa Saudi Arabia ni ya asili ya Wayahudi waliobadili dini miaka ya nyuma😅😅kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madai yao familia ya Al Saud watawala wa Saudi Arabia ni ya asili ya Wayahudi waliobadili dini miaka ya nyuma😅😅kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Watawala waliopo nchi hizo kwa kiwango kikubwa ndiyo waliipa Uingereza "go ahead" ya Uingereza kuianzisha israel.kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?
Kipigo cha juzi kimekukamata kweli kweli , next move ni Ayatollah
Kwa hiyo ukalete vurugu kwenye nchi 8 ili ukakomboe kaeneo sawa na wilaya ya ilala hizi akili za huyu bibi zipoje shida ni hizi elimu zenu za madrasaWanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Baadhi ya jamii za kiarabu zimeanza kustaarabika hazitaki tawala za kidini zenye ukandamizaji mwingi, hawataki vita visivyo na sababu ya msingi Wala kushikamana kwenye mambo yasiyo na tijaTatizo mbadala wa hizo tawala ni Islamic extremism/radical islam ambayo wengi wa raia wa hizo nchi hawataki kuisikia kabisa.
Nchi gani iliyotawaliwa na qoroan ipo vizuri mimi naona vurugu tuTawala za kiarabu wakiamini nchi za Magharibi ndio kimbilio lao badala ya Quran , watapata tabu sana
Hufahamu kuwa Hamas kilikuwa ni chombo cha Mazayuni kama ilivyokuwa Al Qaeda kwa Mmarekani?Sasa bibi ingekuwa hizo tawala zipo chini ya mzayuni mbona hao viongozi wa HAMAS huko Qatar wangelikuwa washakwenda na maji kitambo?
Acheni kuwasingizia "mazayuni" kila ujinga wa Waarabu. Mazayuni wanapata wapi muda wa kupoteza kujifunza na kufundisha watu wajilipue ili wakapate sijui mabikira wenye macho kama gololi huko peponi??Hufahamu kuwa Hamas kilikuwa ni chombo cha Mazayuni kama ilivyokuwa Al Qaeda kwa Mmarekani?
AlhamduliLlah, uzalendo wao ukawa ni bora zaidi ya kuishi kinafik.
Kwa mtazamo wangu dada Faiza umeropoka mambo ambayo huna elimu nayo wala hujayafanyia utafiti otherwise kama unalishwa matangopori ya akina khamenei toka Tehran!.Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Swali zuri na muhimu sana ndugu , Niko hapa nangoja akujibu !.Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Bibi haamini muda ulishamtupa 😀Bibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Mimi nadhani uzee umemvizia sasa anaanza kuweweseka kwa kuandika mambo ambayo mtu mwenye akili inayojua kutafiti mambo na kutoa matokeo sahihi hawezi kukubaliana na madai yake.Bibi faiza achana na waarabu hao ni vichwa maji.Israeli ni level nyingine.Maana unawatetea lakini wanakuangusha sana.Kwani ukihamia upande wa pili utapungukiwa na nn maana mwishowe utapata Bp ya uzeeni 🤣🤣🤣
Adui mkubwa wa waislamu ni waislamu wenyewe! Na adui mkubwa wa Palestine ni wapalestina wenyewe.Umesema kweli, maadui wa Uislam hawaiwachi ikaishi vizuri. Wameshasema wazi "aidha uwe nasi au ni adui yetu".
Mfano mzuri Afghanistan chini ya Taliban.
Ni " Crypto Jews " ,kwahiyo wanaotawala nchi hizo ni waisrael?