Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

Huna ubavu wa kunifundisha Quran wa la tafsiri yake. WANAUME WANANIKIMBIA UTANIWEZA WEWE BIBI KIZEE?!
Sitokufundisha "tafsiri" naona hata unachokisoma hukielwi,, ntakufundisha "tafsil" ya Qur'an.

Funguwa uzi, unaaandikia mate na wino upo? Hapa mada ni tgfauti kabisa. Au nia yako uharibu hii mada?

Au haufahamu namna ya kuanzisha mada nikusaidie?
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Bado hamjasema magaidi yote lazima muwahishwe kuzimu mkapambane na bikra 72 mapema kabla jogoo kuwika
 
Sitokufundisha "tasiri" naona hata unachokisoma hukielwi,, ntakufundisha "tafsil" ya Qur'an.

Funguwa uzi, unaaandikia mate na wino upo? Hapa mada ni tgfauti kabisa. Au nia yako uharibu hii mada?

Au haufahamu namna ya kuanzisha mada nikusaidie?
Vyovyote utakavyoiita.
Iwe ترجمة
Au تفسير
Au تفصيل
Ina uhusiano gani na Aya na Uzi huu?!
Malikia wa SABAI mshirikina mwenye kuabudu jua anasema wafalme wakiingia nchi yoyote huiharibu na kudhalilisha watu , ninekuuliza je wafalme wote wana sifa hiyo au ni baadhi ya wafalme?!
Nimekuuliza Nabii na mfalme Daudi na mwanae Nabii na Mfalme Sulayman na Mfalme Najashi aliyetawala Habasha zama za mtume صلى الله عليه وسلم
pia wafalme Hawa walikuwa na sifa ya kuharibu nchi na kudhalilisha watu.?!
Nimekuuliza je, kutawala nchi kwa mifumo wa tawala za kifalme ni haramu katika uislamu?!
Au hiyo tarjama ya Aya ya Quran umeileta ili tuelewe nini katika aya hiyo?!
Katika udhaifu wa mtu aliyekosa elimu ya fiqihi na ambaye hajasoma elimuya balagha ni kuchukua Aya za misibani ukaenda kuzisoma harusini au Aya za harusini ukaenda kuzisoma misibani mahala ambapo hazihusiki kabisa!! Lete majibu ya maswali yangu madam Faiza na huo Uzi uutakao nitauleta nipatapo muda ila maswali yangu niliyokuuliza yanataka majibu.!!.
 
Unataka kufundishwa ni nini tafsil, hapa siyo mahala pake. Kumbuka hilo.

Funguwa uzi wake.

Hapa nimeweka "quotation" iliyomo ndani ya Qur'an au Qur'an uliileta wewe duniani?

Hizi "tafsiri" zenu za kujazana ujinga za kutumia visa vya kwenye biblia mimi haziniingii akilini kabisa. Kumbuka na hilo.

Ukitaka majibu ya maswali yako na nikue darsa zaidi litakalo kusaidia uelewa wako wa Qur'an fungulia uzi wake.

Unashindwa nini kijana kufunguwa uzi?
 
JUST IN:

Jordan and announced that they would intercept any missiles or drones entering their airspace, whether from Yemen or Iran.

Following Jordan, Egypt has confirmed that it will oppose any violation of its airspace.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Wewe mwenyewe uko kwenye nchi ya kusadikika umelala usingz wa pono ajabu unapata wapi wasaa wa kuamsha watu kwenye nchi nyingine
 
Kama CCM bado ni "dancing partner" wa Mazayuni na Wamarekani hutoweza kuiondowa kabisa, na inaelewa hilo.
Sasa mbona unawalaumu waarabu. Kile kinachokuahinda wewe kuitoa CCM ndicho kinachowashinda waarabu kuachana na mabeberu
 
Isome vizuri, liliulizwa swali kama lako.

Kama umeyasoma majina niliyoyaweka na kama una historia zao japo kidog, utaelewa kuwa wote hao walizipinduwa falme na tawala zilizoweka maslahi na starehe mbele kuliko utu wa watu wao.
Sawa
 
Unataka kufundishwa ni nini tafsil, hapa siyo mahala pake. Kumbuka hilo.

Funguwa uzi wake.

Hapa nimeweka "quotation" iliyomo ndani ya Qur'an au Qur'an uliileta wewe duniani?

Hizi "tafsiri" zenu za kujazana ujinga za kutumia visa vya kwenye biblia mimi haziniingii akilini kabisa. Kumbuka na hilo.

Ukitaka majibu ya maswali yako na nikue darsa zaidi litakalo kusaidia uelewa wako wa Qur'an fungulia uzi wake.

Unashindwa nini kijana kufunguwa uzi?
Unataka kufundishwa ni nini tafsil, hapa siyo mahala pake. Kumbuka hilo.

Funguwa uzi wake.

Hapa nimeweka "quotation" iliyomo ndani ya Qur'an au Qur'an uliileta wewe duniani?

Hizi "tafsiri" zenu za kujazana ujinga za kutumia visa vya kwenye biblia mimi haziniingii akilini kabisa. Kumbuka na hilo.

Ukitaka majibu ya maswali yako na nikue darsa zaidi litakalo kusaidia uelewa wako wa Qur'an fungulia uzi wake.

Unashindwa nini kijana kufunguwa uzi?
Hiyo "tafsil" yako ndiyo kitu gani?!
Na ulijifunza hiyo "tafsil" kupitia somo lip?!
Yaani umejifunza "tafsil" kupitia masomo ya Lugha ya kiarabu kv.
أدب، نحو ، صرف، بلاغة.
Au masomo ya misingi ya kuifahanu Qur'an kv
أحكام التجويد، علوم الفرٱن au
أصول التفسير.
؟
Hebu hilo neno lako unalong'ang'ania la "tafsil" liandike kwa herufi za kiarabu tuone kama mambo wayaweza kwa kuwa Moja ya misingi muhimu ya kujua Qur'an ni kuijua vyema lugha ya kiarabu na misingi yake!
Kwa sababu neno la kiarabu likiandikwa kwa herufi za lugha za kigeni wakati mwingine laweza kumchanganya msomaji akaelewa tafauti na kilichokusudiwa!
Ukisema "tafsil" kwa س yaani تفسيل
ina maana yake
Na ukisema tafsil kwa ص
Yaani تفصيل ina maana tofauti!

Jingine nakukumbusha kuwa mimi katika maelezo yangu hakuna habari niliyochukua toka kwenye bible maana naona hoja hiyo umeing'ang'ania! Kisa cha Nabii Sulayman/ Ndege Hudihudi na Malikia wa SABAI kimetajwa kwa urefu kuanzia Aya ya 20 ya Suuratil Annamli hadi aya ya 44 ambapo wewe umeleta tarjama ya Aya ya 34 nyingine ukaziacha. Sasa kueleza ufafanuzi wa kisa hicho kwa urefu siyo khabari za kwenye bible hizo. Jitahidi uwe unapata muda wa kusoma Quran kwa urefu na siyo kukariri Aya moja tu Kisha ukajifanya wewe ni "Ustaadhat" wa kufundisha watu dini ambayo huijui!.
Mwisho Uzi unaoutaka nitaufungua, ila kabla ya hapo naomba unitafsirie maneno yafuatayo yaliyosemwa na Imamu Shafiy Allaah amrehemu aliposema: "
ما ناققشت جاهلا إلا غلبني
و ما ناقشت عالما إلا غلبته
Madam Faiza nitafsirie hayo maneno ili nijue kwamba mtu nayejadiliana naye tunalingana kiwango au napoteza muda tu?!.
 
Kaa kitako bimkubwa nikusomeshe kwa sababu huna unalojua kuhusu Quran Wala Tafsiri ya Quran!
Majibu yangu kuhusu Aya hii ni katika pointi zifuatazo.

A. Aya hii inaelezea maneno ambayo yamesemwa na mwanamke , malikia wa Sabai ( QUEEN OF SHEBA) maeneo ya Yemen ya sasa Malikia ambaye wakati anasema maneno hayo alikuwa bado ni kafiri anayeabudu jua kabla ya kusilimu na kuolewa na Nabii na mfalme Sulayman.

B . Si wafalme wote wanaosifika na sifa zilizotajwa katika aya hiyo yaani sifa ya
(1) kuharibu nchi na (2) kudhalilisha watu.

Baadhi ya wafalme na watawala wana sifa hizo mbaya na wengine hawana sifa hizo.
Kwa ,mfano Nabii Daudi alikuwa Mfalme na alivyokufa ufalme wake ulirithiwa na mwanae Nabii/mfalme Sulayman. Sasa kwa akili yako unataka kusema kuwa hao manabii wawili pia walikuwa na sifa za kuharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa kafiri hapohapo kwa kuwakosea adabu mitume wa Allaah!

C. Miaka ya kama 1460 iliyopita huko Habasha ( Ethiopia/Eritrea) kulikuwa na mfalme wa kinaswara anayejulikana kama mfalme Najashiy ambaye mtume aliwashauri waislamu waliokuwa wakiteswa na makafiri mjini Makka wahamie katika nchi ya Habasha na kumsifu mfalme wa Habasha kuwa ni Muadilifu na katika nchi yake hakuna anayedhulimiwa.
Je kwa akili yako mfalme huyu pia alikuwa anaharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa huna adabu kwa kumchafua mtu ambaye mtume
صلى الله عليه وسلم
kamsafisha!.

D. Utawala wa kifalme sio haramu, na dini ya kiislamu haijaharamisha tawala za kifalme , kinachoangaliwa ni je mfalme huyu anatawala kulingana na maelekezo ya Quran na Sunna au anatawala kwa mawazo yake na mawazo ya washauri wake?!
Pia rejea Sura ya 3 / Suratu Aali Imran Aya ya 26.

E. Hiyo aya ya 34 ya sura ya 27/ Suurat Annamli uliyoitaja hapo juu, ukitaka kuielewa vizuri anzia aya ya 20 sura hiyohiyo ambapo Allaah kaanza kutaja kisa cha Nabii Sulayman, Ndege Hudihudi na Malikia Balqiisi wa Sabai, kisha endelea hadi aya ya 38 na ukifika aya ya 44 ndio mwisho wa kisa hicho, ama kuleta aya moja tu bila kuangalia mtiririko wa aya zilizotangulia na zilizofuatia Allaah alikuwa anazungumzia habari gani hapo lazima utaleta tafsiri iliyopotoka.

F. Kama nilivyosema kwenye nukta D, kutawala nchi kwa utawala wa kifalme siyo haramu.
Na tawala za asili zilizokuwepo zama za baba yetu Adamu hadi karne ya 18 zilikuwa ni tawala za kichifu na kifalme.
Serikali za kidemokrasia na mifumo ya kupiga kura kuchagua viongozi mifumo hii imeanzishwa na nchi za kimagharibi kwa nia ya kuinginza machafuko katika nchi mbalimbali zinazoendelea kwa ile sera ya devide and rule!, na watu wote wanajua ya kwamba hata neno democracy asili yake ni neno la kigiriki na pia ni wazi kwamba nchi nyingi zinazoendelea zimeipokea demokrasia shingoupande / mguu ndani mguu nje na chaguzi za kidemokrasia zimekuwa chanzo cha machafuko na vurugu ndani ya nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi za kifalme ambazo zinajitegemea kiuchumi na hazina machafuko ya mara kwa mara ukilinganisha na zile nchi zinazoendelea zilizojitangaza kuwa ni nchi za kidemokrasia hali yakuwa viongozi wake bado hawapendi kuondoka madarakani/ wanang'ang'ania kuendelea kubaki madarakani.
Mwisho nafasi ingeruhisu ningekufundisha historia ya tawala za kiislamu hadi kuanguka kwa dola ya Othman (Othman empire الدولة العثمانية) karne ya 20,
lakini muda hautoshi ila atakapo Allaah hili nitalianzishia Uzi maalumu ili watu wapate faida ,
Wabillaahil taifiyq.
Allaah akufanyie wepesi undae huo Uzi tupate .
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Bibi hayo mambo mazito israel hamuiwezi ile na embu fikiria saudi arabia tu ina urafiki na israel huku kiimani ina uadui na iran afu unategemea israel taifa teule la mungu lije kuangamizwa? sahau
 
Nchi ulizozitaja zote ni nchi za Waarabu.
Swali
Inawezekana vipi nchi za kiarabu kushirikiana na mzayuni/kafiri ili kuwaumiza waarabu wenzao?
 
Kaa kitako bimkubwa nikusomeshe kwa sababu huna unalojua kuhusu Quran Wala Tafsiri ya Quran!
Majibu yangu kuhusu Aya hii ni katika pointi zifuatazo.

A. Aya hii inaelezea maneno ambayo yamesemwa na mwanamke , malikia wa Sabai ( QUEEN OF SHEBA) maeneo ya Yemen ya sasa Malikia ambaye wakati anasema maneno hayo alikuwa bado ni kafiri anayeabudu jua kabla ya kusilimu na kuolewa na Nabii na mfalme Sulayman.

B . Si wafalme wote wanaosifika na sifa zilizotajwa katika aya hiyo yaani sifa ya
(1) kuharibu nchi na (2) kudhalilisha watu.

Baadhi ya wafalme na watawala wana sifa hizo mbaya na wengine hawana sifa hizo.
Kwa ,mfano Nabii Daudi alikuwa Mfalme na alivyokufa ufalme wake ulirithiwa na mwanae Nabii/mfalme Sulayman. Sasa kwa akili yako unataka kusema kuwa hao manabii wawili pia walikuwa na sifa za kuharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa kafiri hapohapo kwa kuwakosea adabu mitume wa Allaah!

C. Miaka ya kama 1460 iliyopita huko Habasha ( Ethiopia/Eritrea) kulikuwa na mfalme wa kinaswara anayejulikana kama mfalme Najashiy ambaye mtume aliwashauri waislamu waliokuwa wakiteswa na makafiri mjini Makka wahamie katika nchi ya Habasha na kumsifu mfalme wa Habasha kuwa ni Muadilifu na katika nchi yake hakuna anayedhulimiwa.
Je kwa akili yako mfalme huyu pia alikuwa anaharibu nchi na kudhalilisha watu?! Ukisema ndiyo utakuwa huna adabu kwa kumchafua mtu ambaye mtume
صلى الله عليه وسلم
kamsafisha!.

D. Utawala wa kifalme sio haramu, na dini ya kiislamu haijaharamisha tawala za kifalme , kinachoangaliwa ni je mfalme huyu anatawala kulingana na maelekezo ya Quran na Sunna au anatawala kwa mawazo yake na mawazo ya washauri wake?!
Pia rejea Sura ya 3 / Suratu Aali Imran Aya ya 26.

E. Hiyo aya ya 34 ya sura ya 27/ Suurat Annamli uliyoitaja hapo juu, ukitaka kuielewa vizuri anzia aya ya 20 sura hiyohiyo ambapo Allaah kaanza kutaja kisa cha Nabii Sulayman, Ndege Hudihudi na Malikia Balqiisi wa Sabai, kisha endelea hadi aya ya 38 na ukifika aya ya 44 ndio mwisho wa kisa hicho, ama kuleta aya moja tu bila kuangalia mtiririko wa aya zilizotangulia na zilizofuatia Allaah alikuwa anazungumzia habari gani hapo lazima utaleta tafsiri iliyopotoka.

F. Kama nilivyosema kwenye nukta D, kutawala nchi kwa utawala wa kifalme siyo haramu.
Na tawala za asili zilizokuwepo zama za baba yetu Adamu hadi karne ya 18 zilikuwa ni tawala za kichifu na kifalme.
Serikali za kidemokrasia na mifumo ya kupiga kura kuchagua viongozi mifumo hii imeanzishwa na nchi za kimagharibi kwa nia ya kuinginza machafuko katika nchi mbalimbali zinazoendelea kwa ile sera ya devide and rule!, na watu wote wanajua ya kwamba hata neno democracy asili yake ni neno la kigiriki na pia ni wazi kwamba nchi nyingi zinazoendelea zimeipokea demokrasia shingoupande / mguu ndani mguu nje na chaguzi za kidemokrasia zimekuwa chanzo cha machafuko na vurugu ndani ya nchi zinazoendelea ukilinganisha na nchi za kifalme ambazo zinajitegemea kiuchumi na hazina machafuko ya mara kwa mara ukilinganisha na zile nchi zinazoendelea zilizojitangaza kuwa ni nchi za kidemokrasia hali yakuwa viongozi wake bado hawapendi kuondoka madarakani/ wanang'ang'ania kuendelea kubaki madarakani.
Mwisho nafasi ingeruhisu ningekufundisha historia ya tawala za kiislamu hadi kuanguka kwa dola ya Othman (Othman empire الدولة العثمانية) karne ya 20,
lakini muda hautoshi ila atakapo Allaah hili nitalianzishia Uzi maalumu ili watu wapate faida ,
Wabillaahil taifiyq.
Bimkubwa sasa hajui asimamie wapi ,Kuna kipindi alikuja na nyuzi za vitisho na kusofia military strengths za Hamas na washirika wake huku akichoche mapigano , sasa analalamika kutaka mengine..
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Ipo siku Ngorongoro, Loliondo na Serengeti zitakuwa Arabs empire masai wote hawatakuwa na chao
 
Umebadili gia angani?😄

Leo unamkana Ayatollah Khamenei kuwa ni team na mshirika wa Israel, no way watu tayari mmevurugwa.
 
Huyo anataka wenzake waishi kwenye radical islam huku yeye anazurura kwenye nchi za Makafir na wajaa laana.
Matokeo yake wanaacha hadi Royal Prince wa Kuwait akaamua kuukana Uislam na kubadili dini.
View attachment 3058418
Sasa hivi hadi Singapool na Malaysia na Afghanistan watu wameanzavkubadili tena kwa kasi sana
 
Unataka kufundishwa ni nini tafsil, hapa siyo mahala pake. Kumbuka hilo.

Funguwa uzi wake.

Hapa nimeweka "quotation" iliyomo ndani ya Qur'an au Qur'an uliileta wewe duniani?

Hizi "tafsiri" zenu za kujazana ujinga za kutumia visa vya kwenye biblia mimi haziniingii akilini kabisa. Kumbuka na hilo.

Ukitaka majibu ya maswali yako na nikue darsa zaidi litakalo kusaidia uelewa wako wa Qur'an fungulia uzi wake.

Unashindwa nini kijana kufunguwa uzi?
Naona unakimbia Al maktoum kashakupiga Knock Out (KO) umebaki unatapatapa tu , amekupa mifano michache pamoja na hoja madhubuti umeshindwa kujibu sasa kwenye uzi si atakudhalilisha kabisa ?

Ingekuwa busara zaidi wewe unaedai kuwa darsa itakayowezesha watu kufahamu vyema Qur'an ufungulie uzi ili watu wapate kufaidika.
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizin
Yani wewe Nchi Yako maskini uwaamshe Nchi tajiri kama Saudi Arabia, Qatar,Misri, Ilimu ya madrasa inakupeleka Vibaya
 
Back
Top Bottom