Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Hiyo elimu ya madrassa yenyewe anayo basi au anajishaua tu??!!.Yani wewe Nchi Yako maskini uwaamshe Nchi tajiri kama Saudi Arabia, Qatar,Misri, Ilimu ya madrasa inakupeleka Vibaya
Maamuma huwezi elewaMwarabu hapigani na Myahudi kabisa, nani alikudanganya kuna ugomvi wa Mwarabu na Myahudi, kuna ugomvi wa Mazayuni (hawana uyahudi hata chembe) na Waarabu.
Sikuwa najua kumbe Bibi FaizaFoxy, ni mtupu kabisa kwanye Dini yake.Hiyo elimu ya madrassa yenyewe anayo basi au anajishaua tu??!!.
Alaf mwisho wa siku akajiunga na waandamanaji waliobeba mabango makubwa yameandikwa.Wewe si ndiye uliyeongoza sherehe humu jamvini siku Israeli iliposhambuliwa??
AlhamduliLlah, wewe huelewi myahudi nani, mhebrania nani, zayuni nani.Maamuma huwezi elewa
vizuri umedhihirisha umaamuma wako kwa maandishi kabisaaaAlhamduliLlah, wewe huelewi myahudi nani, mhebrania nani, zayuni nani.
Hakuna katika utawala wa kizayuni ambae ni myahudi. Mfano kubwa lao, nyau ni mpolish, hata jina kabadili lifanane fanane na la Kiyahudi. Unajuwa jina lake la kweli?
Nchi haiiamshi nchi, raia wanaoamshwa, usifikiri kila raia wa nchi hizo ni tajiri.Yani wewe Nchi Yako maskini uwaamshe Nchi tajiri kama Saudi Arabia, Qatar,Misri, Ilimu ya madrasa inakupeleka Vibaya
Hapana, sitaki kuufanya huu uzi kuwa tafsiri ya Qur'an, anayejiita Al Maktoum hana elimu ya Qur'an eye ana kopi na kupesti kutoka mtandaoni, anajidanya tu.Naona unakimbia Al maktoum kashakupiga Knock Out (KO) umebaki unatapatapa tu , amekupa mifano michache pamoja na hoja madhubuti umeshindwa kujibu sasa kwenye uzi si atakudhalilisha kabisa ?
Ingekuwa busara zaidi wewe unaedai kuwa darsa itakayowezesha watu kufahamu vyema Qur'an ufungulie uzi ili watu wapate kufaidika.
Hapana, kwanza ziwe huru zenyewe ndiyo ziwe na kauli. Sasa hivi hizo nchi zote zinatawaliwa na mazayuni ama "directly" ama "indirectly".Teh kwa hiyo tawala za nchi karibuni nane ziondolewe ili nchi moja Palestina iwe huru?? hizi ni akili za wapi?
Boko Haram!!!!πππWanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Wenyewe wanapoenda!Hapana, kwanza ziwe huru zenyewe ndiyo ziwe na kauli. Sasa hivi hizo nchi zote zinatawaliwa na mazayuni ama "directly" ama "indirectly".
Nini usichokielewa hapo?
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Huyu ajuza sasa naona amwanza kudata,wamemlaumu mmarekani sasa wameanza kulaumiana wao,shenzi kabisa.
Fukuto lililopo huko sasa hivi hulielewi.Na wewe ndio utaongoza kwenda kuwang'oa hizo tawala? Maana uongo upe muda tu. Kule mbinguni ambako mnapenda kukusifia, kumbe sio mbinguni. Ni duniani kama tulipo sisi wengine.
Waarabu na waisrael lazima wakae pamoja. Ili amani ya kweli iwepo.
Nyinyi mnaopenda kuwasifia waarabu, kwanza wao kwa wao hawapendani, ndio waje wawapende wengine? Haipo hiyo.
Na mwisho kabisa, Mbinguni kila mtu anaenda peke yake. Haya mambo ya kuhamasisha makundi makundi ni kupotezana bila sababu