Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
 
Nenda kazitoe kama zinakukera, kama umeshagundua tatizo si uende ukazitoe hizo tawala?

Yaani uwa support CCM, ushinde CCM uipiganie CCM halafu wenzako unainuka kuwakosoa, hizo ni akili au matope!? Unajisikiliza kweli?
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Tatizo mbadala wa hizo tawala ni Islamic extremism/radical islam ambayo wengi wa raia wa hizo nchi hawataki kuisikia kabisa.
 
Tawala za kiarabu wakiamini nchi za Magharibi ndio kimbilio lao badala ya Quran , watapata tabu sana
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
hamtaki tena kwenda kuzawadiwa bikra 72 sasa mnataka kupinduana ?! Haya pinduaneni kama samaki yakheeee
 
Tatizo mbadala wa hizo tawala ni Islamic extremism/radical islam ambayo wengi wa raia wa hizo nchi hawataki kuisikia kabisa.
Huyo anataka wenzake waishi kwenye radical islam huku yeye anazurura kwenye nchi za Makafir na wajaa laana.
Matokeo yake wanaacha hadi Royal Prince wa Kuwait akaamua kuukana Uislam na kubadili dini.

Sasa hivi hadi Singapool na Malaysia na Afghanistan watu wameanzavkubadili tena kwa kasi sana
 
"watu wanasema sisi ni wavamizi! Hapa ile ni ardhi yetu tuliyorithishwa toka enzi ya Abraham, Jacob na tulitokea misri kuifuata mali yetu, nyumbani kwetu, hivo israel ni kwetu na hatutotoka na mchokozi yeyote tutamuadhibu popote duniani" Ben Netanyahu "
 
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.

Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.

Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Watatoka usingizini inshaALlah
 
Kipigo cha juzi kimekukamata kweli kweli , next move ni Ayatollah
 
Back
Top Bottom