Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno yako ni 💯Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
We huoni maviongozi ya nchi za kiarabu mengi kama yanaukosefu wa akili vile, kwa kukimbilia kwa America badala ya Mungu. Si America wala Israel atawasaidia wakati ndio utaongea.Tawala za kiarabu wakiamini nchi za Magharibi ndio kimbilio lao badala ya Quran , watapata tabu sana
Waislam wa UAE,Saudia,Oman wanajitambua.Waislam wa IRAN akili zao wameziacha chooni.Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Waislam wa UAE & Saudia ndio waislam sahihi hao wengine wababaishaji tu.Hakuna Muislma mwenye kuufata Uislam asiyejitambuwa.
Usifananishe viongozi ambao ni mazayuni au vibaraka wa mazayuni na raia wa nchi,
Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman.
Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za mazayuni kuendelea kuwepo palestina.
Nguvu kubwa zielekezwe kwenye kuwaelimisha wananchi wa nchi za Kiarabu, waamke kutoka usingizini.
Siyo leo, labda ulikuwa hunisomi vizuri.Faiza,
Unayasema haya leo? Sijui kama Waislamu wenzio watakuelewa....Wangelijua yaliyoko chini ya zulia kwamba Wapelestina adui yao wa kwanza ni Waarabu wenzao, wengi humu jukwaani wengekaa kimya tu.! Kumbuka kuna Mataifa 22 ya kiarabu, na baadhi ya mataifa hayo yao yana utajiri wa hali ya juu.....Wengekuwa na na mtazamo mmoja swala la Palestina lingekuwa na ufumbuzi miaka mingi mno.......na lakusikitisha na ambalo halitawezekana ni hili , Waarabu hawawezi kuwa na msimamo mmoja...... Waarabu ni rahisi kurubuniwa na kununuliwa na kuzungukana wenyewe kwa wenyewe (Wanafiki) kuliko waafrika........
Hebu kumbuka Mataifa ya Kiarabu yalipokuta Sudan August 1, 1967.....yalitoa Azimio Hili..."No Peace with Israel....No Recognition of Israel....No Negotiations with Israel" (Three No')........Kwani Maazimio hayo yalichukua muda!....Leo ni kelele tu, chini ya meza wana mahusiano makubwa mno na Israel, wengi hawaju hilo!
Haya toa madini Mama.....
Faiza ! Faiza! Faiza! Nakuita tena Faiza Foxy !!Siyo leo, labda ulikuwa hunisomi vizuri.
Unafiki wa Waarabu mpaka kwenye Qur'an umeandikwa:
![]()
Qur'an 9:97. Waarabu wamezidi sana katika ukafiri na unaafiki, na wameelekea zaidi kutojua mipaka ya aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu juu ya Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima. 97
Hiyo aya, kuna watafsiri wanaona haya kutafsiri Al Aarabu kuwa ni Waarabu, wanazusha eti "mabedui". Wakati Kiarabu ipo very clear ni Waarabu.
Wanachuoni wako waongo/ Aarab ni Mwarabu, wao ameogo[pa nini kutafsiri ukweli? Neno Bedui wametajwa kama bedui kwenye Qur'an.Faiza ! Faiza! Faiza! Nakuita tena Faiza Foxy !!
Mara ngapi nikuonye juu ya kukoma kutafsiri Quran kwa akili yako bila kuangalia wanachuoni wamesema nini kuhusu aya husika??!!.
Je unajua hatari ya kuitafsiri Quran kwa mawazo yako binafsi.??!!
Mtume
صلى الله عليه وسلم anasema :
"من قال في القرٱن برأيه فليتبوأ مقعده من النار".
" Atakaeisemea Qur'an kwa mawazo yake ajiandalie makazi yake motoni.
Na Allaah mtukufu anasema katika sura ya 29 Aya ya 68 /Suuratil a'nkabuut ya kwamba :
{ وَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًا أَوۡ كَذَّبَ بِٱلۡحَقِّ لَمَّا جَآءَهُۥٓۚ أَلَيۡسَ فِي جَهَنَّمَ مَثۡوٗى لِّلۡكَٰفِرِينَ }
[Surah Al-ʿAnkabūt: 68]
"Na nani dhaalimu mkubwa kuliko yule anaye mzulia uwongo Allaah au anaye kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio yatakuwa makaazi ya makafiri?."
Wewe unadai kiarabu ni very clear wakati ulikimbia madrassa??!!
How can be clear kwa mtu ambaye hajasoma kama wewe??!!
Tarjama maarufu za Qur'an from Arabic to Swahili hapa east Africa ni Tafsiri ya Sheikh Abdallaah Saleh Alfarsy aliyewahi kuwa kadhi mkuu wa Zanzibar na baadae akawa Kadhi mkuu wa Kenya na tarjama nyingine ni ya Sheikh Ali Muhsin Albarwan na Hawa wanachuoni wote wawili wametafsiri kwamba الأعراب
(Al Aa'raabu) ni mabedui, Sasa wewe ni nani Faiza kuleta tafsiri uliyookota jalalani kusema kwamba الأعراب ni waarabu halafu unachekesha watu kwa kudai kwamba ni very clear??!!
Wewe hiyo tafsiri inayosema kwamba
الأعراب
ni waarabu umeitoa wapi Faiza?? !!
Mwalimu aliyekufundisha tafsiri hiyo anaitwa nani Faiza??!!
Mimi ni muislamu wa madhehebu ya kisunni, lakini naamini hata makadiyani na mashia (Allaah awalaani), hawawezi kutafsiri kwamba
الأعراب
maana yake ni waarabu,
Kwa sababu pamoja na upotevu na ukafiri wao wakitafsiri hivyo watakuwa wamejitangaza kwamba hawana maarifa yoyote juu ya Lugha ya kiarabu!
Hapa chini nakuwekea tarjama ya kiingereza iliyoandikwa na wanachuoni wawili:,
Dr. Muhammad Taqiyyu ud Din Alhilali
Na Dr. Muhammad Muhsin Khan utuonyeshe ni wapi wamesema kwamba
الأعراب
Maana yake ni waarabu!!!.
{ ٱلۡأَعۡرَابُ أَشَدُّ كُفۡرٗا وَنِفَاقٗا وَأَجۡدَرُ أَلَّا يَعۡلَمُواْ حُدُودَ مَآ أَنزَلَ ٱللَّهُ عَلَىٰ رَسُولِهِۦۗ وَٱللَّهُ عَلِيمٌ حَكِيمٞ }
[Surah At-Tawbah: 97]
The bedouins are the worst in disbelief and hypocrisy, and more likely to be in ignorance of the limits (Allâh’s Commandments and His Laws) which Allâh has revealed to His Messenger. And Allâh is All-Knower, All-Wise.
Sasa bimkubwa baada ya maelezo niliyoyatoa huenda ukachanganyikiwa kwa kuwa miaka yote wewe na wanaharakati wenzio mumeaminishana kuwa maana ya الأعرابSiyo leo, labda ulikuwa hunisomi vizuri.
Unafiki wa Waarabu mpaka kwenye Qur'an umeandikwa:
![]()
Qur'an 9:97. Waarabu wamezidi sana katika ukafiri na unaafiki, na wameelekea zaidi kutojua mipaka ya aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu juu ya Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima. 97
Hiyo aya, kuna watafsiri wanaona haya kutafsiri Al Aarabu kuwa ni Waarabu, wanazusha eti "mabedui". Wakati Kiarabu ipo very clear ni Waarabu.
TAFAUTI YA MWARABU NA MBEDUI KATIKA LUGHA YA KIARABU.Siyo leo, labda ulikuwa hunisomi vizuri.
Unafiki wa Waarabu mpaka kwenye Qur'an umeandikwa:
![]()
Qur'an 9:97. Waarabu wamezidi sana katika ukafiri na unaafiki, na wameelekea zaidi kutojua mipaka ya aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu juu ya Mtume wake. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye hikima. 97
Hiyo aya, kuna watafsiri wanaona haya kutafsiri Al Aarabu kuwa ni Waarabu, wanazusha eti "mabedui". Wakati Kiarabu ipo very clear ni Waarabu.
Very good!! Hatimaye umejinyonga mwenyewe!!Wanachuoni wako waongo/ Aarab ni Mwarabu, wao ameogo[pa nini kutafsiri ukweli? Neno Bedui wametajwa kama bedui kwenye Qur'an.
Mmedanganywa na tafsiri z kimaslahi hizo. Huyo Muhain Khan yeye ka copy hiyo tafsiri.
Fafanua ujinga hapo ni upi??!!Ujinga wa kiwango cha juu huu
Mara nyingi nimekuwa nikasema kwamba ADUI WA PALESTINA NI WAPALESTINA WENYEWE.Nonse
Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.
Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:
Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...www.jamiiforums.com

https://www.jamiiforums.com/threads...audi-arabia-gaza-wanazuga-tu.2150620/[/QUOTE]Na kwa sababu hiyo ndio maana vita hii Saudi Arabia ataendelea kuiangalia kwa macho tu kwa sababu anajua akiingilia tu , Mabeberu pamoja na mayahudi watakuwa wamekipata kile walichokuwa wanakitafuta siku nyingi kwenda kuiharibu Saudiarabia kama walivyoiharibu Iraq. Ninavyoamini Mimi kama mimi ( Simlazimishi mtu kuamini kama ninavyoamini) hata hammaas ni vibaraka wa wayahudi ambao wao wanaanzisha ugomvi ambao hawana uwezo nao ili kuwafungilia mlango mayahudi kuja kuwaua wapalestina.
Na kwa sababu hiyo ndio maana vita hii Saudi Arabia ataendelea kuiangalia kwa macho tu kwa sababu anajua akiingilia tu , Mabeberu pamoja na mayahudi watakuwa wamekipata kile walichokuwa wanakitafuta siku nyingi kwenda kuiharibu Saudiarabia kama walivyoiharibu Iraq. Ninavyoamini Mimi kama mimi ( Simlazimishi mtu kuamini kama ninavyoamini) hata hammaas ni vibaraka wa wayahudi ambao wao wanaanzisha ugomvi ambao hawana uwezo nao ili kuwafungilia mlango mayahudi kuja kuwaua wapalestina.Niliwahi kuandika kuwa hii vita anatafutwa Saudi abia. Mazayuni na Wamarekani hawaiwachi hii vita mpaka Saudi Arabia iingizwe kwenye vita.
Sababu walizonazo za kutaka Saudi Arabia ijingie kwenye hii bita ni nzuri sana kwa upande wao:
Sakata la Israel na Palestina anaetafutwa na Marekani ni Saudi Arabia. Gaza wanazuga tu
Kuvamiwa kwa Isael ni mpango uliosukwa ukasukika kama ulivyosukwa mpango wa 9/11. Kinachotafutwa ni Saudi Arabia siyo Gaza wala Palestina wala Iran. Naamini kuwa Israel na Palestina na yanayoendelea huko Gaza ni uwakala (proxy) tu wa kutafutwa Saudi Arabia. MBS wa Saudi Arabia" alimtowa nishai"...www.jamiiforums.com
Hizo zote ni porojo zako na uanowategemea kwa tafsiri. Neno lipo veryclea kwenye Qur'an Al AaRabu.Sasa bimkubwa baada ya maelezo niliyoyatoa huenda ukachanganyikiwa kwa kuwa miaka yote wewe na wanaharakati wenzio mumeaminishana kuwa maana ya الأعراب
ni waarabu, Sasa kwa Tarjama za wanachuoni nilizokuwekea hapo hakuna mwanachuoni hata mmoja anayekubaliana na ujinga wenu kwamba
الأعراب
ni waarabu.
Sasa unaweza kuwa unajiuliza kama
الأعراب
sio waarabu je waarabu wanaitwaje ?!
Kwa kukusaidia wewe na wengine wanaofatilia nakuonyesha TAFAUTI YA
MWARABU NA MBEDUI KATIKA LUGHA YA KIARABU.
Neno
الأعراب
ambalo limekuja katika aya uliyoitaja ni wingi wa neno
الأعرابي
(Al Aa'raabiyyu)
Maana yake ni MBEDUI MMOJA na
الأعراب
(Al Aa'raab)
ni MABEDUI WENGI.
NA hao Aa'raab kulingana na kamusi zote za lugha ya kiarabu wanasema ni wakazi wa mashambani au majangwani ambao mara nyingi huwa ni wafugaji wanaoishi kwa kuhamahama kutafuta maji na malisho ya wanyama!
Kwenye KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU Toleo la 3/4 wanasema Bedui ni: Mtu wa jamii ya watu wanaoishi jangwani au majabalini sehemu za Mediterani na Afrika Kaskazini.
Ama sheikh Abdallaah Saleh Alfarsiy akitafsiri aya uliyoileta ya Suurat Attawba aya ya 97 anasema kuwa Bedui ni kila mtu asiye mkazi wa mji kama vile wakazi wa porini , jangwani, mashambani na kama huko akiwa mwarabu au mwafrika au mzungu au mchina au wa kabila nyingine.
Pia Sheikh Farsiy ktk maelezo ya Aya hiyo amaewakosoa sana watu wenye mtazamo kama wa Faiza Foxy wanaodhani kwamba Aya hiyo inawahusu waarabu kutokana na uelewa wao duni wa lugha ya kiarabu.
Saudi sarabia tayari ni ya kwao, kwanini anatakiwa apigwe? Unalijuwa hilo?Na kwa sababu hiyo ndio maana vita hii Saudi Arabia ataendelea kuiangalia kwa macho tu kwa sababu anajua akiingilia tu , Mabeberu pamoja na mayahudi watakuwa wamekipata kile walichokuwa wanakitafuta siku nyingi kwenda kuiharibu Saudiarabia kama walivyoiharibu Iraq. Ninavyoamini Mimi kama mimi ( Simlazimishi mtu kuamini kama ninavyoamini) hata hammaas ni vibaraka wa wayahudi ambao wao wanaanzisha ugomvi ambao hawana uwezo nao ili kuwafungilia mlango mayahudi kuja kuwaua wapalestina.
wapalestina.
Mara nyingi nimekuwa nikasema kwamba ADUI WA PALESTINA NI WAPALESTINA WENYEWE.
NA ADUI WA WAARABU NI WAARABU WENYEWE.
NA ADUI WA WAISLAMU NI WAISLAMU WENYEWE.