Bila Tsh. Milioni 4.5 haurekodi ngoma kwa Producer S2Kizzy a.k.a Zombie

Bila Tsh. Milioni 4.5 haurekodi ngoma kwa Producer S2Kizzy a.k.a Zombie

Good move sio unakua na lundo la wasanii unawatengenea nyimbo kuimba hawajui wanaishia kuharibu jina kisa tu hao wasanii walimlipa laki 5 au Mil. Hapo akipata wawili wa kueleweka ana milioni 9 wale njaa njaa artist ilibidi awakusanye 10 wamlipe 1M kama wataweza ndio wawafunike wale 2.

Safi sana tuna wasanii wa hovyo hovyo kama hawawezi waende kwa hao wengine cheap producers
 
Kuna wahuni wanamsumbua kaona awasanue wanataka kufanya nae kazi wamlipe 4.5M view kwan shida ipo wapi?
Weusi walizinguana na Nahreel kwakupenda mbeleko S2keez japo sio producer mwenye viwango kwangu ila na wasanii wawe wanalipa
Pancho la tino R. I. P, Nahreel na Dunga kwangu wamenibless sana baada ya kizazi cha P Funk na jamaa yake
 
Back
Top Bottom