Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

Bila uchawa, kusema uongo, kuwa praise team member hutoboi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake.

Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM.

johnthebaptist
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Du Nchi ngumu sana UCHAWA ndio kila kitu
 
Hili lilimshinda hata Dr Slaa mwaka 2015, haiwezekani leo uwaambie chawa wako kuwa L ni fisadi hafai hata kupewa ukuu wa wilaya, afu kesho upokee pesa za L na kuja kuwahadaa tena wale wale chawa uliowadanganya mwanzo kuwa L sio fisadi bali ni mtu anaefaa kuongoza nchi na kupambana na mafisadi.

Hawa watu walitakiwa watuombe radhi watanzania kwa uongo na unafiki wao. Pia walitakiwa wajiuzulu ili kulinda heshima zao.

Tanzania ina wanasiasa waongo na wa hovyo kuliko nchi yeyote ya East Afrika.

images (1).jpeg
download.jpeg
images (30).jpeg
 
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake.
Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM. johnthebaptist
Muitafakari ile kauli ya Muungano..ina ujumbe uliojificha sana
 
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake.
Nasema inawezekana hili limemuondoa maana may be alitaka kusema ukweli badala ya utaratibu wa kusema uongo unaokubalika ndani ya CCM. johnthebaptist
Pascal Mayalla na kupiga debe, kusifu, kusujudu na kuabudu naona muda wake bado. Mimi daima humuombea apate kutokea kwenye pdf la mama.

Kila Pdf linalotoka nalisikiliza kwa makini lakini bado hajapata nafasi.

One day yes
 
Back
Top Bottom