KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Nilisha wahi kuhangaika sana na maisha ya utafutaji. Victim wa kuibiwa nikawa mimi, victim wa kutapeliwa nikawa mimi. Michezo yote michafu nafanyiwa mimi, hadi kusingiziwa uongo mkubwa.Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.Kabisa mkuu....matajiri wanaishi maisha ya ajabu sana..yupo mmoja kula yake ni ya bei ya chini mno...haangalii TV hana starehe yeyote.......halafu anasoma sana...hajichanganyi na watu....akipewa mwaliko anatuma mwakilishi......T shirt zake na jeans zina miaka zaidi ya 10.....report za biashara zake anapenda kuziweka kwenye graph,histograms,pie chart etc.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]Tajiri kaongea. Hilo ndio neno la hekima
Nini maana ya "umafia"?Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili usipitwe na teknolojia.
Bila kuwekeza kwenye teknolojia utajiri wako utakuwa ni wa muda mfupi tu.
Mjumuiko wa tabia zote mbaya ndani ya sura yenye tabasamu na suti ya vipande vitatu.Nini maana ya "umafia"?
Umefuga hadi nyokaNilisha wahi kuhangaika sana na maisha ya utafutaji. Victim wa kuibiwa nikawa mimi, victim wa kutapeliwa nikawa mimi. Michezo yote michafu nafanyiwa mimi, hadi kusingiziwa uongo mkubwa.
Kwa kweli kuufikia utajiri wenu ni kazi kubwa na ngumu.
Nilianzisha kiwanda kidogo tu, vita haziishi, hadi kikatengenezwa tukio la moto
Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.Mjumuiko wa tabia zote mbaya ndani ya sura yenye tabasamu na suti ya vipande vitatu.
Kanisani viti vya mbele, high table na waheshimiwa kwenye dhifa za kitaifa
Nipe location nataka utajiri kwa kupitia uchawiTajiri kuingia peponi ni kipengele maana wengi wanafanya kazi nyingi na shetani kuliko Mungu. Wanaua just to get shit straight
Yeye si ana utajiri wa maagano? Tuachane na hao wenye miungu yao. Umesahau alivyomtoa mwanawe kafara kwenye mbio za magari?Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Sina hata huo utajiri hence njia za uchawi ndio kabisa sizijuiNipe location nataka utajiri kwa kupitia uchawi
Foxy rafiki yangu naomba nikonekti na baresa Nina business proposal nataka kumshirikisha🙏Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Hamna tajiri ana expose siri zake. Wewe ulikuwa unamuona tu huko Kariakoo, lakini ya ndani mwake huyajuiSijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Kila utajiri una siri yake.Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Sasa umebadili wimbo, siyo "umafia" tena?Yeye si ana utajiri wa maagano? Tuachane na hao wenye miungu yao. Umesahau alivyomtoa mwanawe kafara kwenye mbio za magari?