Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Abrahamovich nafaham umafia wake na Rafiki yake Putin. Bill Gates sifahamu chochote mi nilidhani amepitia njia za kawaida tu bila makandokando yoyote, kwani ana tuhuma gani?
Inadaiwa hata hio idea ya window iliibwa kwa bwana Steve jobs
 
Inadaiwa hata hio idea ya window iliibwa kwa bwana Steve jobs
Uongo mwingine huu hapa. Bill Gates akishirikiana na Paul Allen na wengine walitengeneza OS ya computer (windows), Steve Jobs, akishirikiana na Steve Wozniak na wengine walitengeneza Computer (Mackintosh).
 
Kwamba waislam masikini wanaupenda sana umasikini kiasi cha kutotaka kuzifuata hizo njia?

Watu wa dini bado mnaishi zama za kitumwa sana.
 
Kwanza ni lazima uelewe, kuwa tajiri siyo kuwa na pesa zisizokuwa na kazi.
Hapa sasa wewe unazungumzia Umaskini,

Lakini mwenye mada anamaanisha utajiri ni kuwa na pesa, na pesa haikosi kazi
 
Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Mrembo, wewe kutomuona au kusikia akifanya hivyo haimaanishi hafanyi. Hayo ni mambo ya sirini
 
Sasa kama umafia wa matajiri umekua ni siri hivyo, Nyinyi mmejuaje takwimu za matajiri ambao ni mafia ?

Hadi mkaja na hitimisho ili uwe tajiri lazima uwe mafia.

Mmepataje takwimu za jambo ambalo mnakiri ni siri sana ?
 
Wewe umepata utajiri kiasi gani kwa kutumia hii mbinu?
 
Uongo mwingine huu hapa. Bill Gates akishirikiana na Paul Allen na wengine walitengeneza OS ya computer (windows), Steve Jobs, akishirikiana na Steve Wozniak na wengine walitengeneza Computer (Mackintosh).
Waliotengeneza program za macrosoft za Bill Gates ni Indian mathematics professors na Gates kwa ajiri 40% wahindi so ni mjanja mjanja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…