Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Bila UMAFIA hujawa tajiri bado. Umafia ndio dira ya utajiri

Kweli Matajiri ni mamafia sana na wapo radhi kufanya kitu chochote ili mradi aendelee kuwa tajiri...
 
Raia wa kigeni wakianzisha biashara bongo wanapewa msamaha wa kodi kwa miaka mi5 ya kwanza

Lakni ww mwenyeji ukifungua biashara yako leo, tegemea kesho kufatwa na TRA, FIRE, H/MASHAURI, TBS, TFDA, 0SHA, NEMC and the likes!!

Kwa namna hyo unafikiri utatoboa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo msamaha wa kodi ni Corporate Tax na sio kodi na makusanyo mengineyo
 
Uongo mwingine huu. Naelewa maana ya lobbying, wewe ndio inaelekea hujui maana yake. Hueleweki hata unaongea nini.
Shida una kuwa ujuaji wa kipuuzi, una jua ni deal ngapi hao kina gates wame support off tracks??
👉Nyingine zikiwa na athari kwa jamii, au kuua upinzani katika sekta fulani??
Screenshot_20230917-123307_1.jpg
 
beefinjector una jua chanzo Cha kustaafu kwa Raisi Richard nixon ??
👉Kata fute Ali fanya nini, kwa Nini na Ali staafu kwa sababu zipi??
👉Deal aliyo ambiwa ai support kutoka kwa gates🤔
 
Abrahamovich nafaham umafia wake na Rafiki yake Putin. Bill Gates sifahamu chochote mi nilidhani amepitia njia za kawaida tu bila makandokando yoyote, kwani ana tuhuma gani?
Muuaji huyo kupitia machanjo yake na misaada
 
Kuvaa nguo za gharama, na kula vyakula vya bei mbaya migahawani ni kiashiria cha umasikini.

Unaponunua nguo za gharama kila wakati na kula vyakula kwenye migàhawa ya kifahari, jua kwamba wewe ni mrija wa utajiri wa mtu fulani. Unampelekea pesa, je wewe anakupa nini?

Ukipunguza matumizi yasiyo ya lazima, ukaanzisha kabiashara kako kadogo, utatamani kukakuza na kukaongeza kabiashara kako hako.


Pia chakula cha kula nyumbani kiko healthy na fresh
IMG-20230902-WA0084.jpg
 
beefinjector una jua chanzo Cha kustaafu kwa Raisi Richard nixon ??
[emoji117]Kata fute Ali fanya nini, kwa Nini na Ali staafu kwa sababu zipi??
[emoji117]Deal aliyo ambiwa ai support kutoka kwa gates[emoji848]
Nilikuwa sijaona hii post kwa kuwa hukuni-quote.

Rais Richard Nixon alijiuzuru (sio kustaafu kama ulivyosema) mwaka 1974 kutokana na skendo ya Watergate. Mwaka 1974 Bill Gates alikuwa na miaka 19. Bill Gates anahusiana na nini na Watergate?

Muwe mnafanya research kabla ya kupost vitu humu, mnajiaibisha. Nixon na Bill Gates wapi na wapi?
 
Shida una kuwa ujuaji wa kipuuzi, una jua ni deal ngapi hao kina gates wame support off tracks??
[emoji117]Nyingine zikiwa na athari kwa jamii, au kuua upinzani katika sekta fulani??
View attachment 2752129
Ulivyonitajia Rais Nixon na Bill Gates kwenye sentensi moja umepoteza legitimacy ya huu mjadala. Nime-confirm kwamba hujui kitu.
 
Back
Top Bottom