Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,906
- 2,902
Huu Uzi nimeupenda sana umeni Inspire
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Even meNataka nijifunze umafia
katika harakati zangu za maisha,....niliwahi kupita chimbo vijijini huko na kupata maokoto kama baada ya mwaka hivi...nilikuwa na kula na kunywa kama kwa miezi mitano hivi bila kufanya kazi, mi ni kula hazina tu huku nikiwaza nini cha kufanya...wazo likanijia nifungue mashine ya kusaga mahindi ile ya mafuta pale kijijini maana watu ni wengi na hamna mashine hata moja na wanaenda kusaga mbali kidogo na pale...pili nijenge gesti..tatu niingie kwenye biashara ya madini....the moment naanza hizo harakati, nilikuta na visanga sijawahi ona wala kudhania, visanga vikapelekea hadi kurudi kugonga nyundo upya, napo hari ikawa mbaya zaidi,mpaka jamaa zangu wakafa kwenye misheni ya uanaappolo,..two years later nikanyoosha mikono nikiwa nimenyooshwa haswa...leo nimebakiwa na BUSINESS PLAN zangu nazichora tu....kifupi unapoanza kunyanyuka jua tu kuwa unaenda kwenye himaya ya watu wazito,...dhuluma,kutishiwa uhai au kuuwawa kabisa, kusingiziwa kesi, ushirikina hivi utakutana navyo na usishangae.... kwenye kukuza pato lako kwa haraka, vitu kama utakatishaji pesa, biashara haramu, kukwepa kodi, kulipa mishahara kiduchu, na kununua wanasiasa ni sehemu tu ya mikakati.....all in all NEVER GIVE UP
Hizo zote porojo za mitaani tu. Bakhresa jina lake lina kosa gani hata atumie jina la Azania?
Wacheni kudanganyana, fanyezi kazi kwa bidii, hakuna aliyezaliwa na mali na hakuna aneondoka na mali. Tumezzikuta na tunaziwacha hapa hapa.
Anatafuta pesa za nini sasa 😆😆😆😅Kabisa mkuu....matajiri wanaishi maisha ya ajabu sana..yupo mmoja kula yake ni ya bei ya chini mno...haangalii TV hana starehe yeyote.......halafu anasoma sana...hajichanganyi na watu....akipewa mwaliko anatuma mwakilishi......T shirt zake na jeans zina miaka zaidi ya 10.....report za biashara zake anapenda kuziweka kwenye graph,histograms,pie chart etc.
Ukijuwa tofauti ya tajiri na ghani. Utanielewa, Nje ya hapo inabidi upige gogti nikupe darsa.Baada ya kutumia njia za kiislam ili uwe tajiri, binafsi umeweza kufikia japo punje ya ulezi ya utajiri wa Bakhresa?
Yesu mwenyewe alisema ni ngumu kwa tajiri kuingia ufalme wa mbinguni kuliko ngamia kupenya tundu la sindano...nafikir umeona yesu unayemtegemea akupe utajiri views zake zilivo kuhusu utajiri..na alishakiri kwamba ufalme wake ni wa mbinguni na sio duniani...Sisi wengine tutakuwa matajiri kwa maombi tukimuamini Kristo Yesu basi.
dunia inamambo hii ndugu, kuna baadhi ya maeneo ukitaka kutoboa ni lazima uyahame hayo mazingira otherwise hutoboi...Mkuu umenikumbusha mbali sana,kunamwanangu Mmoja aliwai tupa Siri hua akiludi kwao ukelewe,akifika hua anakula maji sana na kuvaa ovyo ovyo ili wasimjue jue sana kwao,
Anakwambia ukienda unajifanya uko smart sana huenda usivuke maji ukaludi ulipotoka kisa muonekano wa kutoboa ukakuponza
Mdau anakwambia mlevi hua halogwi,kitendo Cha ku act we mlevi NI KUJILOGA MWENYEWE wenye nchi hawana muda na wew
hawafanyagi hadharani, sio kila mtu anaona,ndio umafia wenyewe.Sijawahi kumuona wala kusikia Bakhresa akifanya hivyo na tumeishi nae Kariakoo kwa miaka mingi sana.
Mnakuwa nae wakati anafanya huo "umafia"?hawafanyagi hadharani, sio kila mtu anaona,ndio umafia wenyewe.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Sifa ya utajiri ni utumiaji wa pesa na sio kuwa bahiliMtu bahili ndo sifa kuu ya tajiri hizo dili chafu dirty money umafia wanafanya wengi ila still ni masikini Sana.
Ngoja niwape tafsiri halisi ya UTAJIRI
Iko hivi .....
Utajiri Umegawanyika katika Pande kuu mbili (2).
1)Utajiri wa Kiroho (Spiritual world)
2)Utajiri wa Kimwili (physical world)
Utajiri wowote ule utaouona unamilikiwa duniani basi Ulianzia ndani ya roho.
Kisha ukaja kudhihirika kwa macho ya Nyama (Physical world).
Foundation sahihi ya Kiroho ndio ita determine wewe ni tajiri wa aina gani. Sasa hapo kwenye Foundation ya Kiroho hapo ndipo Siri yenyewe ilipo [emoji38]!
Hivyo utakuta utajiri wa material things Huwa una principle ya "Accumulate More & More".
Tukumbuke Kuna utofauti Kati ya Accumulate na Abundance ! [emoji23]
Kwamba Unataka Kusemaje Chief !Unaona umetoa tafsiri
Kwamba Unataka Kusemaje Chief !
Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ukizitumia wewe unatoboa? Kawe shoe shiner halafu ghafla uwe trillionea