Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Nakutag kwenye uzi husika wa tajiri wa mabasi aliyeanza kumiliki akiwa na miaka 19.unamuongelea yule wa pembe za ndovu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutag kwenye uzi husika wa tajiri wa mabasi aliyeanza kumiliki akiwa na miaka 19.unamuongelea yule wa pembe za ndovu au?
Mkuu ushawahi ingia jikoni kwenye hzo hotel za gharama..?? Tukuambie au tukuache kwanza🤣🤣🤣🤣🤣Sio kila anaekula chakula cha garama anataka show off no!! We unaishi bunju afu offisi yako ipo k.koo utarud kula lunch mchana??
Watu wanakula vyakula kwny hotel za bei kwa sababu ya usalama wa afya zao,,,,, nadhan unajua jins mazngira ya mama ntilie yalivyo yan huku anapika huku anajifuta jasho hapo hapo mteja akimaliza kula anachukua vyombo analoweka kwenye maji machafu, anakupakulia, hapo pemben kuna chemba ya mavi,, pemben kidogo kuna dampo la manispaa nzi kama wote,,, apo apo ana mtoto ambaye kajisaidia jran na sufuria ya maharage,, kuna usalama kweli hapo??
Nashangaa anamsemea mtu kama anaisemea nafsi yake. Binadamu hata yake mwenyewe anaongopea sembuse ya mtu atayajua yote..?Mama yetu ana fail😀😀
Pay them low wages, long working hours + poor working conditionMiliki slaves wakutosha,😀😀
Nini maana ya "umafia"?
Ngoja nikusimulie visa kadhaa ya neno UMAFIA...Nini maana ya "umafia"?
daah! Sasa hapa Kwenye kudhungu mimi ndo kichwa wazi kabisa,nimeelewa maneno ma3 tu apo .....Either black or white no grey shades.
Vilinge vilivyothibitishwa maeneo mbalimbali nchiniNipe location nataka utajiri kwa kupitia
Mbona id yako jina la underwear za ulaya?daah! Sasa hapa Kwenye kudhungu mimi ndo kichwa wazi kabisa,nimeelewa maneno ma3 tu apo .....
duuh! Yani hapa nimeingia cha kike, bibi angu naomba unishauri nililekebishe vipi, mjukuu wako ntaabika mimi....Mbona id yako jina la underwear za ulaya?
naomba unidadavulie kwaSiyo utajiri tu-hapa duniani bila umafia kidogo utachezewa sana ,hata na watu wa hovyo hovyo.
Uanze wapi wakati mimi ndie niliekuuliza? Nataka unijibuNimeanza juu huko, pitia uzi vizuri. Kama hujapaona rudi hapa.
Ipo kabla hujauliza.Uanze wapi wakati mimi ndie niliekuuliza? Nataka unijibu
Mimi ndie niliekuulizaIpo kabla hujauliza.
Hahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipe location nataka utajiri kwa kupitia uchawi
Pole sana mkuukatika harakati zangu za maisha,....niliwahi kupita chimbo vijijini huko na kupata maokoto kama baada ya mwaka hivi...nilikuwa na kula na kunywa kama kwa miezi mitano hivi bila kufanya kazi, mi ni kula hazina tu huku nikiwaza nini cha kufanya...wazo likanijia nifungue mashine ya kusaga mahindi ile ya mafuta pale kijijini maana watu ni wengi na hamna mashine hata moja na wanaenda kusaga mbali kidogo na pale...pili nijenge gesti..tatu niingie kwenye biashara ya madini....the moment naanza hizo harakati, nilikuta na visanga sijawahi ona wala kudhania, visanga vikapelekea hadi kurudi kugonga nyundo upya, napo hari ikawa mbaya zaidi,mpaka jamaa zangu wakafa kwenye misheni ya uanaappolo,..two years later nikanyoosha mikono nikiwa nimenyooshwa haswa...leo nimebakiwa na BUSINESS PLAN zangu nazichora tu....kifupi unapoanza kunyanyuka jua tu kuwa unaenda kwenye himaya ya watu wazito,...dhuluma,kutishiwa uhai au kuuwawa kabisa, kusingiziwa kesi, ushirikina hivi utakutana navyo na usishangae.... kwenye kukuza pato lako kwa haraka, vitu kama utakatishaji pesa, biashara haramu, kukwepa kodi, kulipa mishahara kiduchu, na kununua wanasiasa ni sehemu tu ya mikakati.....all in all NEVER GIVE UP
We jamaa Bakhresa kimsingi humfahamu.Unafeli we mama😀😀unataka bakhresa akuambie halipi Kodi na ana produce products ambazo sio salama Kwa afya ya binadamu?
Mkuu Bakhresa wenye share 1.Mohamed 2.Aboubakar 3.Omar 4.Mariam 5.Khalid(rip) 6.Yusuf....na Kimsingi wote ni wanae.Kijana acha kusikiliza maneno ya google na kuambiwa,achana kabisa na Mark zuck na Elon 😀😀Kawaulize wamarekani kuhusu mark watakwambia alivyo mafia vitu vingi anavyomiliki ni copy ya vitu vya wenzake nikupe kimoja tu thread ni copy ya twitter, Facebook ni aliwadhurumu washikaji zake,twende Kwa Elon ana space X ambayo NASA wanaitegemea na Hela za ruzuku muda wowote anapewa na gavoo ya US we utashindana na Elon au UNALETA utani,kila utajiri una Siri kibao sio kama uyo bibi Faiza anadai anamjua bakhresa ni mtu mwema😀😀anajua wakina Nani wanashare pale bakhresa group?
UMEMALIZA....wazaramo...twasema..."you cut the cake"Mtu bahili ndo sifa kuu ya tajiri hizo dili chafu dirty money umafia wanafanya wengi ila still ni masikini Sana.