Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

Tutaendaje kuvamia nchi nyingine wakati kwetu tunampasuko, si tutapigwa kweli kweli au tutazamia huko huko, Jiwe aliamua kwenda na watu wake wa kanda ya nyonyo. Taifa linatafunwa na ubaguzi na umimi,

Dalili ya nchi iliyovamiwa ni mpasuko Mkuu
 
Hakuna pumba hapo?? Wenzetu serikali zao zinawatuma kuvamia! Zinawawezesha kwenye technolojia na mitaji then wanavamia wanatunyonya hasa. Sisi tumezubaa

Sio kila mtu unapaswa kumjibu wengine upumbavu wao ni Mkubwa hawawezi kuelewa hata mambo madogo
 
Hata CHADEMA ichuku nchi hii hata Katiba ibadilishwe mara Mia bila kufanya nilichoshauri hakuna maendeleo nchi hii.

Matajiri wote wanaelewa nazungumzia nini ila makabwela kamwe hawawezi elewa nikisemacho
Huo uvamizi hauwezi kufua dafu bado hatuna akili kwa sababu kwa rasilimali tulizonazo tu kama madini wala hatuitaji kuvamia mtu!

Wao wanaokuja kubebelea kwetu ndio tuwatimue tuanze kuyatumia wenyewe kujitajirisha. Ndio maana wenye akili kama akina Kagame wanatushangaa😅 yeye kaingia Congo kubebelea dhahabu sababu kwake hana ila angekuwa nayo asingehangaika kwenda kufanya vurugu kwa jirani ili aibe.

Na ndio maana alimkejeli Jakaya akamwambia ukinipa bandari tu naweza ibadilisha Tanzania kwa muda mfupi tu jamaa aliona katukanwa vibaya sana😅
 
Huo uvamizi hauwezi kufua dafu bado hatuna akili kwa sababu kwa rasilimali tulizonazo tu kama madini wala hatuitaji kuvamia mtu!

Wao wanaokuja kubebelea kwetu ndio tuwatimue tuanze kuyatumia wenyewe kujitajirisha. Ndio maana wenye akili kama akina Kagame wanatushangaa😅 yeye kaingia Congo kubebelea dhahabu sababu kwake hana ila angekuwa nayo asingehangaika kwenda kufanya vurugu kwa jirani ili aibe.

Kuwafukuza haiwezekan kwani tutakuwa tunatumia kanuni ya kuzuia wao wanashambulia
 
BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI!

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni mzambia. Akija WA kutoka kigoma utasikia ooh! Huyu Mburundi yaani tutashikana Uchawi hapa tukishutumiana.

Niliwahi sema kwenye Uzi huu hapa 👇👇

Na Leo nasisitiza, tusipovamia mataifa mengine tutaendelea kukopa mpaka tunye mavi tushindwe kuyazoa.

Kama tumeamua kuendelea hatuwezi kwenda Kwa style hii tuendayo, nilishasema kamwe hatuwezi endelea Kwa kutegemea vikodi mshenzi tunavyokusanya Kwa wananchi wetu wenyewe. Ni pesa ndogo Sana kuiendeleza nchi hii. Labda Kama tunahitaji pesa ya Kula tuu lakini kama ni maendeleo makubwa hakika tunapaswa kufanya uvamizi mkubwa.

Mbona Sisi tumevamiwa? Mbona Sisi tumewekwa mtu Kati hatusemi, hatuoni sijui! Sitaki nionekane mnoko lakini pia siwezi kukubali kuwa mnafiki.

Nilishatoa kanuni ya Msingi wa maendeleo kuwa kuna kunyonya na kunyonywa. Lazima uchague upande hapo. Kuna kuvamia na kuvamiwa lazima pia uchague upande.

Je Kama tumekataa kuvamia ni wazi tumechagua upande wa kuvamiwa. Kumaanisha tumechagua kunyonywa, na tutanyonywa haswa.

Sisemi kumtukana yeyote isipokuwa najaribu Kueleza kuongea na mtu Fulani hapa ambaye akinielewa na siku akichukua nchi hii Ajue chakufanya.

Niliwahi mwambia Hayatti Magufuli anapoteza muda wake, halikadhalika nikamwambia juzi juzi Rais Samia kuwa asipokuwa makini atapoteza muda wake bure.

Natamani system nyeti za nchi zielewe ninachokizungumzia. Tunahitaji kuamua Kwa makusudi kufanya Jambo kuu lenye manufaa litakalobadilisha mwelekeo wa nchi yetu kuendelea.

Mimi sitaki kuelezea Uvamizi tuliofanyiwa na Wahindi katika nchi yetu hivi leo nisijeonekana mjuaji wakati bado Mimi mdogo.

Sitaki Kueleza Uvamizi unaoendelea wa Wachina kwenye nchi yetu unaoendelea nisijeonekana mpiga kelele Kwa walaji.

Uvamizi wa Wazungu kila mmoja wetu anaujua kwenye taifa letu hivyo sinahaja ya kuueleza.

Sijajua nchi jirani zetu Kama wametuvamia au laa.

Uvamizi unaweza fanyika kwenye sekta ya viwanda, sekta za utalii, biashara na makampuni Makubwa, migodi, mashamba na masuala mengine ya kiuchumi. .

Uvamizi unaweza fanyika kiutamaduni, Kidini, kisanaa Kama muziki, maigizo na fasheni za mitindo za mavazi.

Sitaki kuelezea Uvamizi wa vikundi vya kihuni vya magenge ya wahalifu, vikundi vya waasi, na wezi wenye silaha wa misituni waibao Mali Kwa kujipa Itikadi Fulani.

Hata aje profesa gani kutoka wapi hawezi iendeleza nchi hii pasipo kuvamia mahali Fulani la nchi zingine, hawezi kuendeleza nchi hii pasipo kunyonya Kwa nguvu zote nchi zingine.

Mtu hawezi kunenepa Kwa kujila yeye mwenyewe lazima ale viumbe wengine, lazima mtu ili unenepe na uwe na Afya njema lazima ule mbogamboga, nyama za wanyama wengine, nafaka n.k lakini huwezi kuwa na Afya njema au kunenepa Kwa kujila wewe MWENYEWE.

Nchi haiwezi kusonga mbele Kwa kujinyonya yenyewe, aidha ikubali kunyonywa au kunyonya mataifa mengine Kwa kujinufaisha yenyewe.

Naweza kuwa naongea Kama mwanafalsafa lakini ujumbe wangu ni halisi Kwa akili ya kawaida tuu.

Hata uingie CHADEMA, au CUF au ACT hakuna watakachofanya zaidi ya kupoteza muda wao.

Nchi za Afrika haziendelei Kwa sababu hazijaamua kuendelea Kwa kuvamia mataifa ya Ulaya na Asia.

Nasisitiza huwezi kunenepa au kuwa na Afya Kwa kujila wewe mwenyewe.

Tutaishia kukopa na kujiingiza kwenye madeni makubwa yatakayozidi kututia mahali pagumu zaidi.

Kama wao hawaogopi kutuvamia Kwa nini Sisi tunasita kuvamia wa size yetu ndugu zangu. Mbona tumezubaa zubaa Sana.

Au tunataka. Tuendelee kuvamiana wenyewe Kwa wenyewe Kama ilivyokawaida yetu?

Mimi nipo zangu huku Makanya nimepumzika nikiendelea kutafakari.
Karibuni Makanya.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro
Mataifa kavamie wewe na mumeo Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mengine utajua wewe.umeambiwa uvamizi ni rahisi Kama kuiba uchaguzi kisha mnafungua nyuzi za kidwanzi zenye malengo ya kupotosha
 
Ushajiuliza inachukua miaka mingapi ama trillions ngapi kwenda kusomesha watu kadhaa kuhusu new age technologies kisha tukazi apply ili kuboresha kilimo na kuweka miundo mbinu ya kisasa ili tuweze kuwa washindani kwenye export markets za ulaya?

Tatizo la Tanzania ni uongozi tu! We have given a lot of stupid people title za kuwa wawakilishi wetu ila kimsingi hawaleti matokeo kabisa. Wako pale kuinjoy maisha na kujineemesha kwa wizi na ubadhirifu wa mali za umma! We need more entreprenurial mindsets kwenye system sio akili za kutegea mshahara na udokozi.

They are not there for us!!!
Mtu anapata kila anachotaka maishani atahangaika vipi na wewe? Anatembelea gari zuri, hela haikauki mfukoni ana maisha mazuri how can he think of you crazy bastards?
 
Kuwafukuza haiwezekan kwani tutakuwa tunatumia kanuni ya kuzuia wao wanashambulia
Wanashambulia vipi? Mchina alipeleka madogo marekani waka copy technologies wakafanya kweli sie tunashindwa nini kufanya hilo? Why cant we be a technology hub in Africa?
 
Africa kusin walishatuvamia na wanatutafuna kwelikweli. Na sisi inabidi tuivamie South Sudan kwa nguvu zote mapema iwezekanavyo. Pia tunatakiwa kuivamia DRC haraka sana.
 
Umeandika pumba yenye maelezo marefu

Ameandika mambo mazito ambayo akili zako huwezi kuchanganua.
Ukisikia Rwanda imeendelea ujue Congo imepata tabu sana usidhani Rwanda wajinga.
Kuendelea kwa nchi kunahitaji ujasusi wa hali ya juu, mambo sio marahisi tu ulale uamke ukusanye kodi nchi iwe tajiri, kuendelea ni zaidi ya kukusanya kodi na kukopa.

Hujiulizi miaka nenda rudi tunakopa mbona mbona hatuendelei? Mbona tunakusanya kodi mbona hatuendelei kivile?

Hizo China, USA zote zimefanya ujasusi kwa nchi zingine ndo zikafika hapo zilipo
Uingereza imefika pale ilipo kwa mishe mishe nyingi mpaka Mmarekani alitawaliwa na Uingereza, kwahiyo ujue nchi kuwa tajiri sio jambo la utani utani.

Ukisikia Russia imedukua taarifa za USA yote hiyo ni michakato ya nchi kusaka utajiri
 
BILA UVAMIZI TUTAENDELEA KUKOPA MPAKA TUUZE HII NCHI!

Kwa Mkono wa Robert Heriel.

Tutaendelea kushikana Uchawi hapa mpaka Kiama. Akija Rais huyu utasikia oooh huyu Mzanzibar, nikija Taikon kuwa Rais utasikia oooh! Huyu sio Mtanzania ni msomali. Akija Rais kutoka Mbeya utasikia oooh huyu ni mzambia. Akija WA kutoka kigoma utasikia ooh! Huyu Mburundi yaani tutashikana Uchawi hapa tukishutumiana.

Niliwahi sema kwenye Uzi huu hapa [emoji116][emoji116]

Na Leo nasisitiza, tusipovamia mataifa mengine tutaendelea kukopa mpaka tunye mavi tushindwe kuyazoa.

Kama tumeamua kuendelea hatuwezi kwenda Kwa style hii tuendayo, nilishasema kamwe hatuwezi endelea Kwa kutegemea vikodi mshenzi tunavyokusanya Kwa wananchi wetu wenyewe. Ni pesa ndogo Sana kuiendeleza nchi hii. Labda Kama tunahitaji pesa ya Kula tuu lakini kama ni maendeleo makubwa hakika tunapaswa kufanya uvamizi mkubwa.

Mbona Sisi tumevamiwa? Mbona Sisi tumewekwa mtu Kati hatusemi, hatuoni sijui! Sitaki nionekane mnoko lakini pia siwezi kukubali kuwa mnafiki.

Nilishatoa kanuni ya Msingi wa maendeleo kuwa kuna kunyonya na kunyonywa. Lazima uchague upande hapo. Kuna kuvamia na kuvamiwa lazima pia uchague upande.

Je Kama tumekataa kuvamia ni wazi tumechagua upande wa kuvamiwa. Kumaanisha tumechagua kunyonywa, na tutanyonywa haswa.

Sisemi kumtukana yeyote isipokuwa najaribu Kueleza kuongea na mtu Fulani hapa ambaye akinielewa na siku akichukua nchi hii Ajue chakufanya.

Niliwahi mwambia Hayatti Magufuli anapoteza muda wake, halikadhalika nikamwambia juzi juzi Rais Samia kuwa asipokuwa makini atapoteza muda wake bure.

Natamani system nyeti za nchi zielewe ninachokizungumzia. Tunahitaji kuamua Kwa makusudi kufanya Jambo kuu lenye manufaa litakalobadilisha mwelekeo wa nchi yetu kuendelea.

Mimi sitaki kuelezea Uvamizi tuliofanyiwa na Wahindi katika nchi yetu hivi leo nisijeonekana mjuaji wakati bado Mimi mdogo.

Sitaki Kueleza Uvamizi unaoendelea wa Wachina kwenye nchi yetu unaoendelea nisijeonekana mpiga kelele Kwa walaji.

Uvamizi wa Wazungu kila mmoja wetu anaujua kwenye taifa letu hivyo sinahaja ya kuueleza.

Sijajua nchi jirani zetu Kama wametuvamia au laa.

Uvamizi unaweza fanyika kwenye sekta ya viwanda, sekta za utalii, biashara na makampuni Makubwa, migodi, mashamba na masuala mengine ya kiuchumi. .

Uvamizi unaweza fanyika kiutamaduni, Kidini, kisanaa Kama muziki, maigizo na fasheni za mitindo za mavazi.

Sitaki kuelezea Uvamizi wa vikundi vya kihuni vya magenge ya wahalifu, vikundi vya waasi, na wezi wenye silaha wa misituni waibao Mali Kwa kujipa Itikadi Fulani.

Hata aje profesa gani kutoka wapi hawezi iendeleza nchi hii pasipo kuvamia mahali Fulani la nchi zingine, hawezi kuendeleza nchi hii pasipo kunyonya Kwa nguvu zote nchi zingine.

Mtu hawezi kunenepa Kwa kujila yeye mwenyewe lazima ale viumbe wengine, lazima mtu ili unenepe na uwe na Afya njema lazima ule mbogamboga, nyama za wanyama wengine, nafaka n.k lakini huwezi kuwa na Afya njema au kunenepa Kwa kujila wewe MWENYEWE.

Nchi haiwezi kusonga mbele Kwa kujinyonya yenyewe, aidha ikubali kunyonywa au kunyonya mataifa mengine Kwa kujinufaisha yenyewe.

Naweza kuwa naongea Kama mwanafalsafa lakini ujumbe wangu ni halisi Kwa akili ya kawaida tuu.

Hata uingie CHADEMA, au CUF au ACT hakuna watakachofanya zaidi ya kupoteza muda wao.

Nchi za Afrika haziendelei Kwa sababu hazijaamua kuendelea Kwa kuvamia mataifa ya Ulaya na Asia.

Nasisitiza huwezi kunenepa au kuwa na Afya Kwa kujila wewe mwenyewe.

Tutaishia kukopa na kujiingiza kwenye madeni makubwa yatakayozidi kututia mahali pagumu zaidi.

Kama wao hawaogopi kutuvamia Kwa nini Sisi tunasita kuvamia wa size yetu ndugu zangu. Mbona tumezubaa zubaa Sana.

Au tunataka. Tuendelee kuvamiana wenyewe Kwa wenyewe Kama ilivyokawaida yetu?

Mimi nipo zangu huku Makanya nimepumzika nikiendelea kutafakari.
Karibuni Makanya.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Makanya, Same, Kilimanjaro
Mkuu umeleta mada yenye hoja za msingi mno. Watu, jamii ama nchi zote ambazo zimeendelea kiuchumi zimepitia katika kanuni hiyo muhimu ya uvamizi na kujitwalia mali za watu wengine. Hii ndiyo kanuni iliyopo hata ndani ya maandiko matakatifu.

Wana wa Israel walipotoka utumwani Misri iliwapasa wafanye uvamizi katika jamii zingine na kujitwalia mali na ardhi zao. Labda tujikumbushe kupitia maandiko yafuatayo;

MWANZO 3

7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.

Aya hiyo ya nane hapo juu ndiyo imebeba maono ama "vision statement" ikiwa na maudhui ya kufanya uvamizi na kujitwaalia mali ya watu wengine dhaifu. Maziwa na asali ni matokeo ya kujitwalia na kumiliki mali.

Tanganyika ilifanikiwa kukitwalia koloni lake la Zanzibar, ilipaswa kutumia fursa zote za kiuchumi zilizopo huko. Ilipaswa kuanza mikakati ya kiuchumi mara moja ili kuweza kuvuna hazina ya mafuta iliyopo huko ili Wazanzibar wafidie kwa kiasi kikubwa gharama za uendeshaji wa nchi hii.

Naamini muungano uliundwa kwa kigezo cha kuitwaa Zanzibar kwa kuwa imejaa maziwa na asali na wala sio upuuzi mwingine wowote wa kisiasa.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna pumba hapo?? Wenzetu serikali zao zinawatuma kuvamia! Zinawawezesha kwenye technolojia na mitaji then wanavamia wanatunyonya hasa. Sisi tumezubaa
Acha kupotosha dai katiba na tume huru kema wizi wa kura na Mali za Uma
 
Ndugai ana hoja yeye kahoji tumeanzisha tozo ili zijenge madarasa na zahanati. Iweje tena tunakopa kwa ajili ya hivyo vitu.

Naomba ajibiwe
 
Mkienda hamrudi ndio shida ilipo

Uoga waotu, kwani hatanisiporudi sinitatuma miamala kwa familia yangu, wakiweka zengwe alafu nabaki hapahapa sinaajira silipikodi nchi inafaidika nini.
 
Vita ya Uganda ilitucost uchumi uliporomoka hatukufaidika na chochote.
 
Back
Top Bottom