Bila uvamizi tutaendelea kukopa mpaka tuuze hii Nchi

Ona pumba nyingine hii Rwanda imeendelea compared na nchi gani? Unaijua Rwanda au unaisoma mtandaoni? Pelekeni nadharia zenu uko
 
Kuvamia yahitaji uwezo na intelijensia nzuri or else tutaishia kula za uso...
 
Kuvamia yahitaji uwezo na intelijensia nzuri or else tutaishia kula za uso...

Unaamini kabisa nchi yetu yenye Watu 60m+ inakosa hata Watu elfu 50 wenye akili za kuunda Mpango, mkakati wa kutekeleza Jambo hili?
Mimi siamini kabisa. Naamini nchi yetu haikosi Watu wa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…