Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Lucas hebu tuache basi hata tuinjoi weekend.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisaNdugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kinyaa!! Kwahiyo CCM ndo inatawala katika nchi zote ambazo hazijasambaratika na kugawanyika vipande vipande?? Robot Eunice atachukuwa nafasi yako usipoutumia vizuri uchawa wakoNdugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa limesambaratika na kugawanyika vipande vipande.
Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi na mazuri kwa wewe na mimi mwananchi kutumia fursa zilizopo katika kujikwamua na kuinuka kiuchumi.kitu na jambo ambalo CCM imelifanya na Inaendelea na jitihada za kuhakikisha kuwa Watanzania tunapewa kipaombele katika fursa zozote zile zinazopatikana hapa nchini. Ni jukumu letu kuchangamkia fursa zinazopatikana hapa nchini.Ni kweli kabisa
Lakini pia ccm hiyo hiyo imetufanya masikini
Umeandika vizuri sana,yale masela ya ufipa yanadhani nchi ikiingia kwenye machafuko ya kisiasa yatafaidika kuingia mamlakani.Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa limesambaratika na kugawanyika vipande vipande.
Nakubaliana na wewe ndg yangu MwoshambwaNdugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo
CHADEMA wanafikiri madaraka yanapatikana kwa kupandikiza chuki na ubaguzi.Umeandika vizuri sana,yale masela ya ufipa yanadhani nchi ikiingia kwenye machafuko ya kisiasa yatafaidika kuingia mamlakani.
Hawajui walitendalo,chadema ni genge tu lisilo na mipangoCHADEMA wanafikiri madaraka yanapatikana kwa kupandikiza chuki na ubaguzi.
Maendeleo yanaletwa na wewe mwenyewe mwananchi.kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa wewe kujikwamua kiuchumi.Uwepo wa CCM madarakani tangu tupate uhuru hadi leo ni janga kubwa kwani licha ya utajiri mkubwa wa rasilimali tulizobarikiwa bado sisi ni moja ya nchi masikini sana duniani. Uwepo wa CCM madarakani ni laana kubwa
Kama mzalendo kwa nchi yangu, tanzania inaweza simama na ikaenda bila chama cha siasaNdugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lisu anapumua Magufuli ni marehemu, aliyeamua hivyo ndio anailinda tz hadi leo na sio ccm😃😃😃😃 Kwa hakika CCM Ndio Bima ya Watanzania na Tumaini lao.ndio maana kila mtu imani yake ipo kwa CCM kwa kila jambo ,chama kiongozi na chenye uchungu na maisha ya watanzania.
Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa inahusiana nini na andiko langu.kwani nani ambaye hatakufa? Nani ataishi milele kwenye Dunia hii?Lisu anapumua Magufuli ni marehemu, aliyeamua hivyo ndio anailinda tz hadi leo na sio ccm
Huoni kuwa kenya wanachaguana kwa makabila? Ndio mfano unaoweza utoa hapa?Ndogo zako tu kwa uchunguzi upi. Je tungekuwa masikini hivi. Kenya nako na ukabila wao wote nchi bado ipo Msumbiji na vita nchi bado ipo!!! tuache pumba tumia muda wako kuandika vitu vya maana. Uchawa hausomewi