Pre GE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

Pre GE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote akiwemo Mbowe na genge lake.
Dada umekosa kazi za kufanya na kuanza kufanya kampeni, mnalipwa?
Hata Mbowe pale alipo anapata ruzuku ndio maana anakomaa japo anajua fika hataweza kuichukua nchi hata akishinda uchaguzi kwa kura milioni.
 
Nafikiri pia, Chama cha Mapinduzi kinafahamu zaidi kuhusu kujiandaa na kushinda chaguzi yoyote kuliko vyama vya upinzani. Jambo la amani, utulivu na umoja kwa watanzania linaweza likawa limeletwa na imani kwa uongozi hata kama hali ya Tanzania kimaendeleo ukilinganisha na nchi zilizoendelea duniani ni duni.

Katika kipindi ambacho kuingia madarakani kwa chama cha upinzani ni ndoto, ni vyema kwa wao kudumisha umoja huu na kuwa wanaharakati wa kweli katika kutetea mambo mema nchini hata bila kushika nafasi yoyote ya uongozi nchini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na nam

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulipozaliwa ulijua kama utaikuta ccm? au umeijua ukubwani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nchi inapoteza hela kutengeneza roboti wakati Lucas ni roboti wa CCM.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na a utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndio lengo la wale nyumbu kuigawa Nchi hii kikabila 😀😀
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe wale waliokuwa wakiimba Bungeni kuwa atake asitake atawale milele ni hao unaowaita wapinzani?
Kama hii ndio sifa ya kuwa CHAWA basi endeleeni na UCHAWA WENU.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa limesambaratika na kugawanyika vipande vipande.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwamba hata baada ya MEMBE kuwa na mtizamo tofauti aliendelea kuwa CCM na 2020 aligombea km mgombea mwenza wa kiti cha Urais kwa ticket ya CCM.
 
Labda ulitaka kusema,bila vyombo vya Ulinzi na Usalama,CCM kingekuwa kilishaondoka madarakani kwa njia ya kura na kusambaratika kabisa!
 
Labda ulitaka kusema,bila vyombo vya Ulinzi na Usalama,CCM kingekuwa kilishaondoka madarakani kwa njia ya kura na kusambaratika kabisa!
Hakuna chama chenye uwezo wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hii ni kutokana na ubora wa sera na ajenda zake zenye kugusa maisha ya watu wa rika na makundi yote.
 
Baba yako angejua kuwa ni tutusa hivi asingekubali kuishi kimasikini,angekutoa ndagu aondokane na umasikini.
 
N
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom