Pre GE2025 Bila Uwepo wa CCM Madarakani Nchi ingekuwa Imesambaratika na Kugawanyika vipande vipande

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote akiwemo Mbowe na genge lake.
Dada umekosa kazi za kufanya na kuanza kufanya kampeni, mnalipwa?
Hata Mbowe pale alipo anapata ruzuku ndio maana anakomaa japo anajua fika hataweza kuichukua nchi hata akishinda uchaguzi kwa kura milioni.
 
Nafikiri pia, Chama cha Mapinduzi kinafahamu zaidi kuhusu kujiandaa na kushinda chaguzi yoyote kuliko vyama vya upinzani. Jambo la amani, utulivu na umoja kwa watanzania linaweza likawa limeletwa na imani kwa uongozi hata kama hali ya Tanzania kimaendeleo ukilinganisha na nchi zilizoendelea duniani ni duni.

Katika kipindi ambacho kuingia madarakani kwa chama cha upinzani ni ndoto, ni vyema kwa wao kudumisha umoja huu na kuwa wanaharakati wa kweli katika kutetea mambo mema nchini hata bila kushika nafasi yoyote ya uongozi nchini
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na nam

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ulipozaliwa ulijua kama utaikuta ccm? au umeijua ukubwani?
 
Nchi inapoteza hela kutengeneza roboti wakati Lucas ni roboti wa CCM.
 
Ndio lengo la wale nyumbu kuigawa Nchi hii kikabila 😀😀
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe wale waliokuwa wakiimba Bungeni kuwa atake asitake atawale milele ni hao unaowaita wapinzani?
Kama hii ndio sifa ya kuwa CHAWA basi endeleeni na UCHAWA WENU.
 
Kwamba hata baada ya MEMBE kuwa na mtizamo tofauti aliendelea kuwa CCM na 2020 aligombea km mgombea mwenza wa kiti cha Urais kwa ticket ya CCM.
 
Labda ulitaka kusema,bila vyombo vya Ulinzi na Usalama,CCM kingekuwa kilishaondoka madarakani kwa njia ya kura na kusambaratika kabisa!
 
Kwa vile mmenunua roboti za kuwabusu ndio nchi bila CCM ingesambaratika. mnatia aibu kweli na CCM yenu vijana wamejazana mitaani kwa kukosa ajira,mnawaambia wakajiajiri lakini ajira za kuajiri maroboti ya kuwabusu zipo.
 
Labda ulitaka kusema,bila vyombo vya Ulinzi na Usalama,CCM kingekuwa kilishaondoka madarakani kwa njia ya kura na kusambaratika kabisa!
Hakuna chama chenye uwezo wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hii ni kutokana na ubora wa sera na ajenda zake zenye kugusa maisha ya watu wa rika na makundi yote.
 
Hakuna chama chenye uwezo wala nguvu wala uwezo wala ubavu wa kuweza kushindana na CCM katika sanduku la kura. Hii ni kutokana na ubora wa sera na ajenda zake zenye kugusa maisha ya watu wa rika na makundi yote.
Baba yako angejua kuwa ni tutusa hivi asingekubali kuishi kimasikini,angekutoa ndagu aondokane na umasikini.
 
N
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…