Tena, anateseka kweli na Yanga yake!Bila shaka wewe ni Yanga,msiache huo utangulizi
TV ndio itaamua au marefa wale wale?Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini.
Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.