Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

Bila VAR timu ndogo gomeeni ligi round ya pili.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ziko timu ambazo zitashuka daraja kwa kupokwa ushindi na waamuzi dhidi ya timu kubwa nchini.

Round ya pili hata kama hakutakuwa na VAR lakini iwepo TV inayoweza kutumika watu kuangalia slow motion za matukio tata viwanjani.
 
TV ndio itaamua au marefa wale wale?
 
Waliwekwa marefa 6 bado wakatoa penati ya mchongo var ikiwekwa utopolo wanaweza kushuka daraja
 
Wamefungiwa Waamuzi zaidi ya Mala 2
Nao ni mechi dhidi ya Yanga
hiyo VAR ikiwepo Saizi yanga Anapoints 10
 
Hv hatuwezi kutumia replay za Azam tv kutatua changamoto kama hizo au mabeberu bado hayajaruhusu mpk tutumie VAR
 
Back
Top Bottom