Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Yaani asiumize kichwa unamaanisha na yeye anapambana na hao Jews, USA na NATO??😀😀


Iko wazi kua Jews, USA na NATO ni wakala wa shetani katika kufanikisha kile alichomuahidi MWENYEZIMUNGU kua atahakikisha anawapotosha binadamu wake na ndio maana USHOGA unapigiwa chapuo na hao Jews, USA na NATO huo ni mfano mmoja ulio wazi kabisa

Na watu wa MUNGU nao watapambana mpaka siku ya mwisho ili watu wajue ukweli na uongo

That's all about.
 
Huyo jamaa umeshamahinda tayari,ndio maana analeta mipasho na sio hoja

Anakupotezea muda tu
 
Mbona Idd Amin alipoidai Kagera mkakataa? Ila Israel akidai ndio halali? Kingine nani alikudanganya Israel ni makazi yao? Walitokea Iraq huko na Syria, walikuta nchi ina wakazi, wakaua kila mtu ili kuteka ardhi.
 
Ushoga upo uarabuni tangu Zaman chief na ndio maana ya onyo la sodoma na gomora. Spish ya kiarabu ni laana tangu enzi.
 
Ushoga upo uarabuni tangu Zaman chief na ndio maana ya onyo la sodoma na gomora. Spish ya kiarabu ni laana tangu enzi.
Kwahiyo huu unaopigiwa chapuo na USA, NATO na Israel ni wa Aina ipi??

Huo uliohalalishwa kanisani
 
Kwahiyo huu unaopigiwa chapuo na USA, NATO na Israel ni wa Aina ipi??

Huo uliohalalishwa kanisani
Kwa mkristo yeyote anajua kanisa maana yake ni mimi. Yaan sio jengo ni wewe. So Bwana akija hatalihukumu jengo. Utahukumiwa wewe kwa kutoishi maagizo ya Mungu. Mzungu kuwa muwazi haimaanishi yule Askari kule Zanzibar alikuwa hafanyi.
 
Aisee!
 
Ushoga upo uarabuni tangu Zaman chief na ndio maana ya onyo la sodoma na gomora. Spish ya kiarabu ni laana tangu enzi.

Dodoma iko Hiyo mnayosema ni Israeli ya leo
 
Ushoga upo uarabuni tangu Zaman chief na ndio maana ya onyo la sodoma na gomora. Spish ya kiarabu ni laana tangu enzi.
Ibrahim alikosea mnooo kuzini na Hajir yule dada wa kazi mmisri maana matokeo yake ndo akazaliwa wakala wa shetani yaani ishmael ambaye ni baba wa magaidi na na kupitia kizaz chake akazaliwa mleta dini ya mashetani na kwa kweli hiyo dini haitak kuishi vizuri na wakristo, wahindu, wabudha.

Huko alipo Ibrahim atakuwa anajutia sana kumpiga miti hajir.
 
Uzi ungekua mzuri kama tungeweka pembeni interests na imani zetu, let the facts speak for themselves.
 


View: https://www.youtube.com/watch?v=qDkkCp4xzMk
 

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu. Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu. Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo mnang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi mjuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).
 
Netanyau na genge lake ni wazungu kutoka UK. waliletwa mashariki ya kati na UK wakishirikiana na Marekani kwa ajili ya mipango maalum.

Hebu muangalie Netanyau anajifanya myahudi, na Macron mzungu uniambie totauti zao ziko wapi?
Acha u-ng'ombe, Wayahudi wote duniani asili yao ni Israel
 
Kama hajakuelewa hapo, basi mpuuze, maana atakuwa na lengo la kubisha sio kujifunza.
 
Huyo jamaa umeshamahinda tayari,ndio maana analeta mipasho na sio hoja

Anakupotezea muda tu
Hili nililiona kitambo mkuu, ndomaana sikutaka kuendelea kujadiliana nae. Maana yeye ametanguliza imani ya dini na mimi nimetanguliza fact na uhalisia.
 
Uzi ungekua mzuri kama tungeweka pembeni interests na imani zetu, let the facts speak for themselves.
Uzi ulianza vizur bila kuhusisha dini, lakini ghafla waisrael wa bonyokwa na waarab wa unguja wakarukia na kujaribu kuharibu maana nzima ya uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…