We mende aliekudanganya kama Netanyahu ni myahudi ni nani?Acha u-ng'ombe, Wayahudi wote duniani asili yao ni Israel
Waisrael walikuwa na haki kulipwa na Misri maana walitumikishwa sana hapo wakiwa utumwani sijui ni kwakuwa Mama yao mdogo alitokea huko?Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye uchumi mkubwa wa mafuta kama vile Saudi Arabia, Iraq, Iran nk.
OkSana tu mkuu.
Huyu ni mfano wa watanzania wenzangu wasiojua wayahudi sio wakristo wenzetu na wanawauwa wakristo wa mashariki ya kati sawa sawa sawa na wanavyowauwa waislam , bad enough hata bible wamekariri , MUNGU tusaidieKuikataa Israeli kuwa ina miliki west Bank, ni kukataa kweli iliyopo kwenye Biblia. Israeli uanzilishi wake na hata jina linaanzia kwenye Biblia 🤔
2 Samuel 5:4-5
"4 David was thirty years old when he became king, and he reigned forty years. 5 In Hebron he reigned over Judah seven years and six months, and in Jerusalem he reigned over all Israel and Judah thirty-three years."
....
Huyo mfalme David, kwenye Biblia, kitabu cha Samuel, aliyetawala Hebron, West Bank na Jerusalem, Israeli. Hakuwa mpalestina bali ni myahudi. Hiyo ni zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita. Kipindi hicho hata neno Palestina halikuwepo hata kwenye misamiati ya kipindi hicho!
Our slogan :
Because we are Christians, Believing in Bible, we stand with Israel. 🇮🇱
Wanaopinga ukweli nilioandika 85% ni wadini wanapinga na ku comment kwa misingi ya kidini.Huyu ni mfano wa watanzania wenzangu wasiojua wayahudi sio wakristo wenzetu na wanawauwa wakristo wa mashariki ya kati sawa sawa sawa na wanavyowauwa waislam , bad enough hata bible wamekariri , MUNGU tusaidie
Mkuu hivi umesoma vizuri kweli nilichoandika au umekimbilia tu ku comment baada ya kuona limeandikwa neno Israel?We mtoa mada unafurahisha sana Israel ana kitu gani zaidi ya kukuzwa na hao wafalme wa nchi za kiarabu ili wakae kwenye vyeo vyao ndio wanavyo danganywa na US.
Israel kupigana na vikosi vya Hamasi na Hezbullah mpaa asaidiwe, we Huna habari Morocco kapeleka karibu wanajeshi 4000 kumsaidia Israel sijui Jordan kapeleka wangapi 😄
Wale kina Netanyahu na wenzake wote waliotawala Israel toka mwaka 1948 mpaka leo ni wazungu watupu kutoka UK, USA, Ujeruman na Ulaya mashariki haswa haswa Poland, Uturuki, Ugiriki nk.Hata mimi nimeanza kuamini wale pale sio wayahudi asilia ni kweli israel.
Unafahamu maana ya muajemi?Kama kawa muajemi anatoa mafunzo ambayo yanaleta hasara kwa adui 😂😂😂