Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

umeandika us3ng , munivamie halaf unataka niwache mkae jiran na mm ? nkiwapeleka mbali mnasema hiyo ilikuwa njama yang kabla hamjanivamia , mtu anaesikiliza stori za waarab bas nae hazimo kichwan
 
tuache biblia kaangalie simuliz a Ottoman empire , hao bia wana uhusiano na biblia ? ubish wa kiseng huu unauleta , wayaudi hawakuja 1948 kama mnavyodanganywa , wayaud walikwepo hapo tangu zaman ila baadhi ndo waliletwa mwaka 1948 mf Libeira ilikuwa na waafrika ila wachache waliletwa mwaka 1847 , waarab wananufaika na watu wajinga wasiopenda kuumiza akili
 
achana na biblia kasome historia za ottoman empire , nao ni wameendeshwa na biblia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…