Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

Uelewa wako ni mdogo sana
Waarabu lazima amshukuru mzungu sababu ndo aliyemwambia haya mafuta ni fedha hii ni gas

Mwarabu alikua hajui kinachoendelea huku duniani
 
ndio ilivyo, hata jordan na lebanon zinaweza kutwaliwa na israel. Cha msingi wakae kwa amani na huyo jirani yao wasiyompenda. Misri aliona hayo akaona isiwe taabu akaingia kwenye mkataba wa amani na israel wa camp david
 
ndio ilivyo, hata jordan na lebanon zinaweza kutwaliwa na israel. Cha msingi wakae kwa amani na huyo jirani yao wasiyompenda. Misri aliona hayo akaona isiwe taabu akaingia kwenye mkataba wa amani na israel wa camp david
Your browser is not able to display this video.
 
ati mipaka iliyochorwa kwenye torati!!!
KITUKO HIKI...
 
Vijana wamecharukiana si mchezo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taarifa nyingi zinazojadiliwa hapa nyingi ni za 1970-1990πŸ˜‚ ila kinachoendelea saivi hamna anajua.....ila nikitumia uzoefu wangu wa elimu ya gumbaru wanachojaribu kufanya USA, UK na washirika wao ni pa kuwapeleka wale wakazi wa Gaza ila wanapishana mtazamo
 
Nikukumbushe tu UN inaitambua israel ila haiitambui palestina
UN hiyo hiyo iliitambua serikali ya makaburu huko Afrika Kusini ingawa wanaifahamu fika kuwa watawala wa serikali hiyo ni wazungu wenye asili ya Ulaya.

UN hiyo hiyo iliitambua serikali ya kingereza katika taifa la Tanganyika tena serikali hiyo iliyotambuliwa na UN ilikuwa inaongozwa na malkia Elizabeth ambae alikuwa anaongoza nchi akiwa zake Ulaya. Mifano ni mingi.

Kwahiyo UN kuitambua Israel haimaanishi kuwa wale ambao UN haiwatambui sio raia halisi wa nchi husika. Wana sheria zao ambazo wewe mpogoro hauwezi kuzijua.
 
O
hujaelewa israeli ni kitu gani ??

na kwanini ikaanzishwa israeli + walioianzisha ni nani ??

View attachment 2883213
Israeli ilianzishwa na jumuia ya kimataifa ikiongozwa na Uingereza baada ya vita juu ya pili ya dunia.
Wayahudi walirudi kwenye ardhi yao ya asili baada ya kuteseka Kwa muda mrefu huko Europe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…