Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
Waislamu wamelipua watu Manchester huko umesikia?Boywise,
Allah akujaze kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waislamu wamelipua watu Manchester huko umesikia?Boywise,
Allah akujaze kheri.
Al Watan nimesikia lakini nakuomba uzingatie jambo moja. Hayo si katika mafunzo ya Uislam na ni bahati mbaya sana wanatumia jina la Uislam. Leo katika Ukristo lipo tatizo kubwa la ushoga tena kwa viongozi wakuu wa Kanisa. Haya si mafunzo ya Yesu Kristo. Mimi siwezi kupanua kinywa changu na kuwachafua Wakristo kwa vitendo hivyo kwani si katika yale yaliyo ndani ya Ukristo. Siwezi nikakuwekea hapo post nakuambia, "Umesoma mahali kadhaa padri analawiti watoto wadogo?" Nitakuwa sijatumia akili yangu kutafakari mambo.Waislamu wamelipua watu Manchester huko umesikia?
UKristo umesema umewapa wafuasi wake sheria mpya ya upendo.Al Watan nimesikia lakini nakuomba uzingatie jambo moja. Hayo si katika mafunzo ya Uislam na ni bahati mbaya sana wanatumia jina la Uislam. Leo katika Ukristo lipo tatizo kubwa la ushoga tena kwa viongozi wakuu wa Kanisa. Haya si mafunzo ya Yesu Kristo. Mimi siwezi kupanua kinywa changu na kuwachafua Wakristo kwa vitendo hivyo kwani si katika yale yaliyo ndani ya Ukristo. Siwezi nikakuwekea hapo post nakuambia, "Umesoma mahali kadhaa padri analawiti watoto wadogo?" Nitakuwa sijatumia akili yangu kutafakari mambo.
Al Watan mimi sina haja ya kufanya ubishani na wewe katika Uislam na mafunzo yake. Post yangu iliyopita nimekujibu hilo uloniuliza la mauaji kwa kukuonyesha matatizo yaliyopo. Hapa ilikuwa tunajadili historia ya Bilal Waikela.UKristo umesema umewapa wafuasi wake sheria mpya ya upendo.
Labda wanatekeleza sheria hiyo.
Katika Uislamu/ Quran hakuna mafunzo ya kuua makafiri?
The Quran's Verses of Violence
Huna haja ya kufanya mabishano au huna majibu?Al Watan mimi sina haja ya kufanya ubishani na wewe katika Uislam na mafunzo yake. Post yangu iliyopita nimekujibu hilo uloniuliza la mauaji kwa kukuonyesha matatizo yaliyopo. Hapa ilikuwa tunajadili historia ya Bilal Waikela.
Hapana kaka mimi si mtu wa ubishani.Huna haja ya kufanya mabishano au huna majibu?
Dini yenu inafundisha uuaji.
Mstari mmoja huo hapo juu. Kutoka katika Quran.
Huo ni ukweli ambao huwezi kuubishia.
Ukibisha utaibishia Quran.
Ndiyo mana hutaki kujadili.
Dini yenu ni ya kigaidi na kiuaji.
Ukisema hao magaidi wanaoua watu hawafuati mafundisho ya Uislamu unadanganya.
Kwa sababu Quran imewaambia waue.
Bisha.
Hapana kaka mimi si mtu wa ubishani.
Anyetaka kumjua zaidi atafute video iliyorekodiwa siku ya muungano wa UKAWA maana Prol Lee Pum Bah ndio aliyemualika ili amtumie kama steping stone.Mmoja wa Waasisi wa TANU Mikoa ya Magharibi
Don wa Zamani Mpigania uhuru aliekuwa anamiliki Rizki ya kutosha ikiwemo 'Motokari' Miaka ya 1960 enzi hizo kwa Sheria ya Nyerere kumiliki gari lazima Muwe Watu Sita kuombea Kibali cha Umiliki
Mpinga Bakwata wa awali kabisa Tangu inaanzishwa1967 akipinga kwa hoja kuwa inafanywa tawi la TANU/CCM ni Mzaliwa wa Tabora
Dini zenyewe zote uongo mtupu.Nadhani Mzee Bilal Waikela nae alitopea kwenye udini ndio maana historia yake ilitupwa sababu ilikwenda mlengo tofauti na Mwl Nyerere japo ni kweli ni mtu muhimu sana kwa uhuru wa nchi hii na hata vijana wa leo tunaona mifano hai, pia mambo ya kujitambulisha kwa kigezo cha dini hakikubariki katika nchi yetu sababu imeleta shida sana kwa wanadamu rejea mfano mdogo wa nchi ya Afrika ya kati huo udini ulivyoleta tabu ukiachia mbali nyingine tuzijuazo.
Kuna wakati Askofu Gwajima aliwahi kutoa mfano hai kabisa japo mimi sio muumini wake, aliwahi kusema "itakuwaje mtu akahukumiwa kwa sheria za kiislamu (Sharia) muda huu halafu akakimbilia kwenda kuokoka kanisani muda mchache tu, je hapo hakutakuwa na mvutano kuhusu mtu huyo juu ya uhalali wake" na ikitokea itakuwaje?
Kuna swala kidogo tu ambalo na mimi nimelishuhudia kuhusu kuchinja lilivyoleta mvutano, sasa tukitaka tujitambulishe kwa udini wetu tutafikia wapi?
Tutafakari kwa umakini ndugu zangu wote ni Watanzania
Conclusion ya hivi sio ya kisomi hakuna proof kwa unachokisema labda useme wanaoiwasilisha ndio waongo wengi wao wachumia tumboDini zenyewe zote uongo mtupu.
Peter...Nadhani Mzee Bilal Waikela nae alitopea kwenye udini ndio maana historia yake ilitupwa sababu ilikwenda mlengo tofauti na Mwl Nyerere japo ni kweli ni mtu muhimu sana kwa uhuru wa nchi hii na hata vijana wa leo tunaona mifano hai, pia mambo ya kujitambulisha kwa kigezo cha dini hakikubariki katika nchi yetu sababu imeleta shida sana kwa wanadamu rejea mfano mdogo wa nchi ya Afrika ya kati huo udini ulivyoleta tabu ukiachia mbali nyingine tuzijuazo.
Kuna wakati Askofu Gwajima aliwahi kutoa mfano hai kabisa japo mimi sio muumini wake, aliwahi kusema "itakuwaje mtu akahukumiwa kwa sheria za kiislamu (Sharia) muda huu halafu akakimbilia kwenda kuokoka kanisani muda mchache tu, je hapo hakutakuwa na mvutano kuhusu mtu huyo juu ya uhalali wake" na ikitokea itakuwaje?
Kuna swala kidogo tu ambalo na mimi nimelishuhudia kuhusu kuchinja lilivyoleta mvutano, sasa tukitaka tujitambulishe kwa udini wetu tutafikia wapi?
Tutafakari kwa umakini ndugu zangu wote ni Watanzania
Naomba kujua kutoka kwako mlengo wa Mwl Nyerere ambao ulisalimika na "udini" ukiutofautisha na mlengo wa Mzee Bilal Waikela ambao kwa "kudhani" kwako ulitopea kwenye "udini"Nadhani Mzee Bilal Waikela nae alitopea kwenye udini ndio maana historia yake ilitupwa sababu ilikwenda mlengo tofauti na Mwl Nyerere japo ni kweli ni mtu muhimu sana kwa uhuru wa nchi hii na hata vijana wa leo tunaona mifano hai, pia mambo ya kujitambulisha kwa kigezo cha dini hakikubariki katika nchi yetu sababu imeleta shida sana kwa wanadamu rejea mfano mdogo wa nchi ya Afrika ya kati huo udini ulivyoleta tabu ukiachia mbali nyingine tuzijuazo.
Kuna wakati Askofu Gwajima aliwahi kutoa mfano hai kabisa japo mimi sio muumini wake, aliwahi kusema "itakuwaje mtu akahukumiwa kwa sheria za kiislamu (Sharia) muda huu halafu akakimbilia kwenda kuokoka kanisani muda mchache tu, je hapo hakutakuwa na mvutano kuhusu mtu huyo juu ya uhalali wake" na ikitokea itakuwaje?
Kuna swala kidogo tu ambalo na mimi nimelishuhudia kuhusu kuchinja lilivyoleta mvutano, sasa tukitaka tujitambulishe kwa udini wetu tutafikia wapi?
Tutafakari kwa umakini ndugu zangu wote ni Watanzania
Boywise,Naomba kujua kutoka kwako mlengo wa Mwl Nyerere ambao ulisalimika na "udini" ukiutofautisha na mlengo wa Mzee Bilal Waikela ambao kwa "kudhani" kwako ulitopea kwenye "udini"
Boywise,
Nimeeleza kila kitu kuhusu Bilal Waikela katika kitabu cha Abdul Sykes.
Nitakujibu hapa swali lako lakini kwa kuelewa historia nzima ya TANU
na uhuru wa Tanganyika ni muhimu sana tena sana ukasome kitabu hiki.
Farka baina ya Waikela na Nyerere ilitokea mwaka wa 1963 katika mkutano
wa EAMWS uliofanyika Dar es Salaam Waikela alipomsomea Nyerere risala
ya Waislam kuhusu chokochoko zilizokuwa zimejitokeza kwa serikali kutaka
ivunjwe EAMWS wakati walikuwa na mipango ya kujenga Chuo Kikuu ili nao
Waislam wawe na uwezo wa kuweza kushiriki katika uongozi wa nchi.
Risala hii haijapatapo mwenzake sasa nusu karne imepita.
Waikela akimtazama Nyerere usoni alimkumbusha juhudi za Waislam katika
kupigania uhuru wa Tanganyika ili watu wawe huru kutokana na dhulma zote.
Ukitoa ugomvi wa 1958 baina ya Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere hii
risala ya Waikela ilikuwa inawarudisha Waislam nyuma kutafakari upya hali
yao ya baadae katika Tanganyika huru.
Historia ya uhuru wa Tanganyika ina mambo mengi sana ya kusisimua.
Anaependa kuijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika asome kitabu cha
Abdul Sykes.
Shukran Mzee wangu Mohamed Said, na kuhusu kitabu ninacho na nimetoa tongotongo nyingi sana kunako historia ya nchi yanguBoywise,
Nimeeleza kila kitu kuhusu Bilal Waikela katika kitabu cha Abdul Sykes.
Nitakujibu hapa swali lako lakini kwa kuelewa historia nzima ya TANU
na uhuru wa Tanganyika ni muhimu sana tena sana ukasome kitabu hiki.
Farka baina ya Waikela na Nyerere ilitokea mwaka wa 1963 katika mkutano
wa EAMWS uliofanyika Dar es Salaam Waikela alipomsomea Nyerere risala
ya Waislam kuhusu chokochoko zilizokuwa zimejitokeza kwa serikali kutaka
ivunjwe EAMWS wakati walikuwa na mipango ya kujenga Chuo Kikuu.
Risala hii haijapatapo mwenzake sasa nusu karne imepita.
Waikela akimtazama Nyerere usoni alimkumbusha juhudi za Waislam katika
kupigania uhuru wa Tanganyika ili watu wawe huru kutokana na dhulma zote.
Ukitoa ugomvi wa 1958 baina ya Sheikh Suleiman Takadir na Nyerere hii
risala ya Waikela ilikuwa inawarudisha Waislam nyuma kutafakari upya hali
yao ya baadae katika Tanganyika huru.
Historia ya uhuru wa Tanganyika ina mambo mengi sana ya kusisimua.
Anaependa kuijua historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika asome kitabu cha
Abdul Sykes.
Maalim asante, sana sasa nimeelewa, kumbe ilikuwa ni Presidential Preventive Detention Order. Hii kitu iliwahi kumkuta Mzee wangu Andrew Mayalla (RIP) aliyekuwa RSO wa Mwanza. Nyerere kiukweli alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo, alikuwa hataki kabisa ujinga ujinga wa aina yoyote. Sisi Wakatoliki tuko kwenye mchakato wa kumtangaza Mwenye Heri ambayo ni daraja moja kabla hajawa Mtakatifu. Naomba tukimtaja Nyerere popote, tumtaje kwa kutazama only the bright side of him and not the dark side isije kuchelewesha mchakato wetu.Asalaam aleikum maalim.
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa makala na maandiko yako mengine.Hongera sana kwa kuutangaza na kuutetea umma was kiislamu ingawa historia "ya pili" imekuwa ni kikwazo katika hili.
Naamini Allah (s.w) ataendelea kukuongoza udumu katika kheri.Inshaallah.
Pamoja na hayo, natamani kupata nakala(hata soft copy) za maandiko yako.