Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
- Thread starter
- #21
Namba zinakuja hivyo... lakini ukiangalia matumizi na jinsi maji yanavyokatika haimake sense kupata namba hiyo.Meter inasomaje?.
Ilipoishia na ilipo sasa!?.
Kuna sehemu nilikaa wakati fulani, aisee bili ilikuja units 25... niko mwenye, sikuwepo nyumbani kwa wiki mbili, muda ambao nilikuwepo sishindi mchana - ni weekend pekee, lakini bili ilikuja hivyo! Alikuja mhudumu wa DAWASA baada ya kuwatafuta sana sikupewa maelezo ya kwanini bili imesoma vile, walibaki kusema tu itakuwa ni matumizi yako!
RoadLofa