Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 855
Anatokea mkoa gani ? Utajiri wake umeegemea kwenye biashara gani?
Anafaidika na utawala uliopo, msisumbuke nae angekuwa mlipaji mzuri wa kodi wala asingejishughulisha na siasa chafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatokea mkoa gani ? Utajiri wake umeegemea kwenye biashara gani?
Hivi kigoma kuna bilionea?
fanya kazi kwa bidii nawe utakua bilionea,usidhani kila mwenye mafanikio hapa nchini ni mwizi,huyu mafuruki ni mpambanaji na kaupata huo ubilionea kwa jasho lake.
wacha kushinda humu jf muda wote,wekeza muda wako kwenye kufanya kazi kwa bidii uone nawe kama hutafanikiwa vinginevyo utabaki kuwasengenya watu tu humu jf kwa kutumia hiyo ID yako fake.
Kuna mahari nimemtaja Lowassa mm? Mama naona kadiri siku zinavyosogea akili yako inazidi kudidimia!
Ni muendelezo wa kutaka kulinda mfumo ulio mtajirisha.
Wote wenye manufaa na mfumo, lazima watatetea kulinda mfumo, tunaelewa na hatuwalaumu, sisi tutavunja mfumo.
Huwezi kuutenganisha utajiri wake na CCM. Hana namna zaidi ya kuitetea CCM.
asante kwa taarifa ..ali mafuruki wa info tech amepata ubilionea kupitia serikali hiyo hiyo ya ccm iliyompa tenda zote za kuprint ,huyu ali ndio walioua tanzania national printers.