Elections 2015 Bilionea Ali Mafuruki, Atoa ya moyoni

Elections 2015 Bilionea Ali Mafuruki, Atoa ya moyoni

Mkurugenzi wa Infocom Technolohies kampuni inayopewa tenda za kusupply computer kwa bei mara tatu ya ile ya sokoni

Pia ndie mhusika mkuu wa aliyeiua ATC akiwa mwenyekiti wa bodi

Kwa ufupi hawa ni first class beneficiaries wa mfumo dume wa CCM

Magufuli na mahakama yake ya mafisadi anayo kazi kubwa
 
Kama mfumo umemtajirisha, wewe umepungukiwa nini usitajirike? Kama kuna wenye manufaa na mfumo, wewe umepungukiwa nini usinufaike?

Ukishavunja mfumo utaongezekewa nini kitakachokufanya unufaike?

Sisi sio mimi tutaweka mazingira sawa kwa wote. Kama ambavyo unajibu unasisitiza umimi, na ndio anachotetea huyo mwenzako.
 
Huyu jamaa ni mnyarwanda kabila lake nimtusi. Hilojina la MUFURUKI maana yake nimuhamiaji. Inadaiwa wazazi wake walihamia mkoa wakagera yeye akiwa kijana ila alipobatizwa ndowakampa hilojina kama kumbukumbu ya adha waliyoipata ktk safari yao yakuhamia kagera.

Wako wengi walasioyeye pekeyake. Hawa watusi wana agenda kubwa mno yakuitawala Africa. Wanakuja kamahivo, wanajipachika ktk makabila yawatu, nakwakuwa sisi niwakarimu sana kwa wageni kwakweli tuko hatarini kutekwa.

Hatahuyu Magufuli kunawasiwasi ndo damu hiyohiyo yakitusi. Muangalie anavojipachika makabila wakati anajua niuongo. Mwanzo alidai nimsukuma, wasukuma walipohoji chimbuko lausukuma wake akaruka kimanga akadai ni Mzinza wakati hata uzinza hapajui. Baadae ikadaiwa ni msubi. Yote hayo nikutafuta uhalali tu ila siyo kweli. Hatajina lenyewe Magufuli halina asili yasehemu yoyote ktk hizo anazojipachika.

Kusema kweli Ccm inatutafutia matatizo mchana kweupe kwakukubali tutawaliwe nawageni hatari ambao wana agenda zasiri kutokahuko walikotoka. Angalia mtu kama KINANA. Huyu nimsomali kabisa nainajulikana mpk ukoo wake huko Somalia. Leo ndo katibu mkuu wachama tawala.

Kusema kweli watanzania tusipojitambua kwakuwakataa hawa watu kwanguvu zetu zote, saa inakaribia tutajikuta watumwa ktk ardhi yetu nahakutakuwa nawakumlilia.
 
Mkuu unajiabisha unawajua Forbes?

Naona hata Bakheresa umemtoa.

Teh Teh teh siku moja moja pitia habari za dunia.

Bakressa hajafikisha 1 Bil USD utajiri wake pamoja na mengi
 
Hii si ndo miongoni ya majizi yanayotumia mfumo nyonyaji wa ccm na serikali yake kupiga mingo!
 
Back
Top Bottom