Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.

Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Shillah.JPG
 
Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.

Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.

Maendeleo hayana vyama!
Huu Uoga ndo unampozaga mapombeko tu. Ila nabii shilla is unstoppable for youth and kirombelo.
 
Back
Top Bottom