Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

Natafuta coment hapa ya DINI NA SIASA havichangamani.
 
Huyu ameanza kampeni kabla ya muda, hivyo atawekewa pingamizi na kutupwa kabla ya muda, sijui kwa nini hawa wapinzani hawasomi kanuni na sheria za uchaguzi.
Mbona juzi tumetoka kanisani kwende ibada ya ndoa na kuelekea ukumbini kwa msafara wa magari na matarumbeta. Mbona hajaitwa mtu kuwa kaandamana?
Huyo kasindikizwa woga wa nini?
 
Maandamano yake yametishia kuiondoa Tanzania kwenye uchumi wa kati. Huyo ni wakala wa mabeberu!
Wakala wa nini?
FB_IMG_1593936269077.jpg
 
Uzi unaelezea POLISI kumhitaji Shila, sasa CCM inaingiaje?
 
Back
Top Bottom