M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
viongozi wetu CCM wanavyoiogopa Chadema hadi mimi kichefuchefu!Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA