johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huu Uoga ndo unampozaga mapombeko tu. Ila nabii shilla is unstoppable for youth and kirombelo.Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi.
Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo.
Maendeleo hayana vyama!
Polisi hawajawahi kutambua hilo...Inawezekana wakamuongezea umaarufu zaidi kwa wapiga kura wake wa Ifakara
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app