Una vituko sana dahπππNimelia sana , ahsante ...
Nimesikia atazikwa na gunia la hela ni kweli? Ati alisema hivyo. Sasa alisema saa ngapi wakati alikufa kwa ajali?[emoji23][emoji23][emoji23]... wanazengo nichangien jaman msiba mkubwa huu
Ile ya mengi kijijini kwao ameiona kwelUlisha wahi kuona nyumba ya mtoto wa bahkresa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chawa muhimu[emoji23][emoji23][emoji23] We uliona wapi Tajiri akawa peke yake? Alikuwa na chawa wake a.k.a Vyawa Hawa hapaView attachment 1624389View attachment 1624391
Asante nimeona mengi dah. Diamond atasubiri sana kuna watu wana pesa dah.Ni taratibu za watu wenye hela zao
Mkuu unatisha kwa uchambuzi!Tunasema #DIAMOND PLATNUMZ ni Socialite millionaire alaf magari anayotumia yote yakijapan MATOYOTA,, wakina Ginimbi ndio wanaume sasa,, gari yake aliyopiga nayo chin ndio thamani ya nyumba ya chibu
Humo ndani balaaHii ndo club ya Ginimbi.
Aliipenda versace aiseee[emoji23][emoji23][emoji23] We uliona wapi Tajiri akawa peke yake? Alikuwa na chawa wake a.k.a Vyawa Hawa hapaView attachment 1624389View attachment 1624391
Mzee wa money laundering hakuna cha joka kutema ela wala nini na wamemuua huyu...Alikuwa anajiachia sana ...
Mafuta na gas alikuwa anauza ni transporter wa mafuta na gesi between nchi za kusini.Ila jamaa alikula good time. Lakini hakuwahi kuelezea kuhusu kazi yake unaona mapichapicha tu ya good time
Ni kweli hanaga mtoto yeye alikuwa anatanua nao tu wala mke hana, last time anarudi alikuwa wanaenda rest na moana na yule alichia, pia yule karim alikuepo nahisi alikuwa anagonga alichia maana walikuwa form ni noma.Hana mtoto bwana. Huyo Zondwa alikuwa sugarmamy wake. Zondwa ndo ana watoto wakubwa mpaka wajukuu.
mkuu mkuu nimeamua kufukua makaburi leo baada ya mpendwa wetu kututoka , my condolences to DK. JPM.Jiwe au??!!??...mijitu kama ile haifagi haraka,sijui kwa niniπππ
Imeisha hiyooooo.Dingi yake jesker
Noma sana.Jiwe au??!!??...mijitu kama ile haifagi haraka,sijui kwa niniπππ
Kababy kanguπ€·
na wew si uligeuka kituko kwa kulia msiba wa mhe. au ulishanyamazaUna vituko sana dah[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1624347
Nyumbani kwa Mzee Kadungure(Baba yake Ginimbi) akiwa na shangazi yake.
Unazingua bwanaKababy kangu
Ulimnafikia Baba kwa Boss G ona sasa wote wamelala sema boss G kama alikuwa mshirika basi anatumikia kafara muda wake halali ukifika wanamuachia.Jiwe au??!!??...mijitu kama ile haifagi haraka,sijui kwa niniπππ