TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

[emoji23][emoji23][emoji23]... wanazengo nichangien jaman msiba mkubwa huu
Nimesikia atazikwa na gunia la hela ni kweli? Ati alisema hivyo. Sasa alisema saa ngapi wakati alikufa kwa ajali?
 
Tunasema #DIAMOND PLATNUMZ ni Socialite millionaire alaf magari anayotumia yote yakijapan MATOYOTA,, wakina Ginimbi ndio wanaume sasa,, gari yake aliyopiga nayo chin ndio thamani ya nyumba ya chibu
Mkuu unatisha kwa uchambuzi!
 
Ila jamaa alikula good time. Lakini hakuwahi kuelezea kuhusu kazi yake unaona mapichapicha tu ya good time
Mafuta na gas alikuwa anauza ni transporter wa mafuta na gesi between nchi za kusini.
 
Hana mtoto bwana. Huyo Zondwa alikuwa sugarmamy wake. Zondwa ndo ana watoto wakubwa mpaka wajukuu.
Ni kweli hanaga mtoto yeye alikuwa anatanua nao tu wala mke hana, last time anarudi alikuwa wanaenda rest na moana na yule alichia, pia yule karim alikuepo nahisi alikuwa anagonga alichia maana walikuwa form ni noma.
 
Jiwe au??!!??...mijitu kama ile haifagi haraka,sijui kwa nini🏃🏃🏃
Ulimnafikia Baba kwa Boss G ona sasa wote wamelala sema boss G kama alikuwa mshirika basi anatumikia kafara muda wake halali ukifika wanamuachia.
 
Back
Top Bottom