Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuendesha range ama magari ya staili hiyo ni starehe tupu....asikwambie mtu....Jaman unakuwa na pesa kwanin usiendeshweena dereva ati
Yale madude yanachukuaga madeni yao kwa kushtukiza......Kafara kama lotee
Kuna tofauti kati ya wambea na waandishi wa habari!!?Kuna watu umbea ni ajira kwao
Utaandika tu hizo figa ndio haki yako lakini hiyo gari huwezi kumiliki ww mgalatia.....Dah Ginimbi kanyoosha hii habari imenipitaje? Kitu amechokilia hapo kwa nyuma ni Lamborghini aventador tena right hand drive ambayo ni limited Bei yake ni 500K-800k US $View attachment 1623337
Kabisa, kama wale waliomkwapulia vitu vyake wakati kapata mzinga, watanyukwa mikwaju na majini yake mpaka wakomeYale madude yanachukuaga madeni yao kwa kushtukiza......
tena yanasubiri ukiwa katikati ya furaha yanakunyakua.....
pap paap paaaap!
Wale wa shigongo ni waandishi au wambea,shilawadu jeKuna tofauti kati ya wambea na waandishi wa habari!!?
mimi nijuavyo moja ni kazi ya malipo moja ni ya kujitolea....
common goal ni kuhabarisha ummat
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Binamu huna akiliNimelia sana , ahsante ...
Wale hawana kisomo....Wale wa shigongo ni waandishi au wambea,shilawadu je
Usimsingizie Mungu mambo ya kijinga.Fanya ujinga wako halafu sema mapenzi ya Mungu hakuna kitu kama hicho .Shetani huwa yuko kazini na maulevi yenuUnaweza kunywa sumu lakini pia usife unakubaliana nami? Ndiyo nasema sasa vifo vina formula kali na ni Mungu tu ajuae hilo
Binamu mimi nishatuma kwa Zari[emoji23][emoji23][emoji23]... wanazengo nichangien jaman msiba mkubwa huu
Duh.....fursa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]... wanazengo nichangien jaman msiba mkubwa huu
Yale madude yanachukuaga madeni yao kwa kushtukiza......
tena yanasubiri ukiwa katikati ya furaha yanakunyakua.....
pap paap paaaap!
Watu huwa wanaongea tu pesa za masharti,nao waende wakapate pesa au wao hawataki kua matajiri.
Mtu umepambana mpka kupata pesa wanakuja mabwege na kusema za masharti
Hujajibu swali lakiniWale hawana kisomo....
Mkuu imekuwa chemba court naona....Hujajibu swali lakini
Kikubwa anaingiza kipato tofauti na warumi mbea wa kujitoleaMkuu imekuwa chemba court naona....
labda nirahisishe mambo mmbeya ni mwanahabari asiye na darasa hana ethics....
the vice versa is true.....