secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
kama ww unajua chemistry au biology au hesabu ni sawa.....Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.
Si ajabu wanajua hata saizi ya viatu alivyokuwa anavaa..
kuna wenzio fani zao ni kujua ya wenzao....
na ndio hapo utajua maana halisi ya jamii
mchanganyiko wa character tofauti.....