TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Maneno ya masikini wakifarijiana. Heri yake aliyeuza nafsi akapata ubilionea kuliko mnaouza vipapaa mnaishia kukwaa miwaya. Ufukara mbaya sana.

NB: Tecno sio simu.

[emoji23][emoji23][emoji23] binamu I miss you
 
Sawa kabisa na utajiri wake ndio huo aliokula ndinga alizoendesha......
mademu wakali alio-honga na kugonga....
pombe alizokunywa.....
na misosi aliyokula....
ndio utajiri wake alivyoacha nyuma ni ziada
Hapo ndo napopiga salute kwa Sir God
 
Nimeshangaa sana kuona gari ya bei mbaya imeungua kama ubua.Najuaga labda hizo gari zina mekanism ya kujizima hata ajali za moto zinapotokea kumbe hamna kitu !!????
Hilo ni mtumba...mileage zimesoma kiana kiasi kwamba kila kitu kimelegea
 
Ex wife nasikia alimdanganya ana mtoto wake kuja kupima DNA ikajulikana mtoto si wake wakaachana, Naona aligawa kizazi , with all money sio kazi kwake kupata mtoto
Angezalisha kama kumbi kumbi
 
Billioneer Ginimbi Yani kama kivuli vile, kapita dah life is too short.
IMG_20201111_154453.jpeg
IMG_20201111_154644.jpeg
IMG_20201111_154950.jpeg
 
Hivi Mo Dewji au Barhesa utajiri wao wakiamua kujiachia watashindwa kununua na kula raha kama huyu tajiri Limbukeni.Waafrika tuna matatizo vichwani mwetu.
 
Pesa na mali zitapita lakini ufalme wa Mungu hautapita,hivyo inatakiwa tujiandae kila wakati kwa kumtukuza Mungu na kuyaishi mapenzi yake,kwakuwa hatuijui siku wala saa tutakapoiacha hii dunia maana kifo kinatujia kama mwizi,ni paa,haupo duniani..
 
Hivi Mo Dewji au Barhesa utajiri wao wakiamua kujiachia watashindwa kununua na kula raha kama huyu tajiri Limbukeni.Waafrika tuna matatizo vichwani mwetu.
Limbukeni ni ww....hohehahe...
kila mtu ana maamuzi ya matumizi ya hela yake namna ya kuitumia......
 
Hilo ni mtumba...mileage zimesoma kiana kiasi kwamba kila kitu kimelegea
Duh hivi unajua kweli hata mechanism ya Gari? Bwahahahaha eti la mtumba kila kitu kimelegea hahahahahahaha utakua fukara wa kufa mtu aisee hadi nafsi yako itaririka hasidi tupu!! Vipi chiu unayouza haijakulipa?
 
Mo pesa za familia,barhesa pesa za kurithisha watoto labda kama angeamua kula ujanani ila hawa akina ginimbi wametafuta wenyewe huku nia ikiwa kula bata sio kuacha urithi hivyo wacha wafaidi watakavyo mtu kama maiweza huwezi mpangia ngumi kala mwenyewe
Hivi Mo Dewji au Barhesa utajiri wao wakiamua kujiachia watashindwa kununua na kula raha kama huyu tajiri Limbukeni.Waafrika tuna matatizo vichwani mwetu.
 
Watu wa maana wanawahi mno kufa, life is not fair.
 
Tuachane na yote....hata Kama alikuwa mfuasi wa shetani......Ila mjuba alikuwa na shekeri!....
 
Back
Top Bottom