secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Nawewe chagua moja......Tuachane na yote....hata Kama alikuwa mfuasi wa shetani......Ila mjuba alikuwa na shekeri!....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawewe chagua moja......Tuachane na yote....hata Kama alikuwa mfuasi wa shetani......Ila mjuba alikuwa na shekeri!....
Duh hivi unajua kweli hata mechanism ya Gari? Bwahahahaha eti la mtumba kila kitu kimelegea hahahahahahaha utakua fukara wa kufa mtu aisee hadi nafsi yako itaririka hasidi tupu!! Vipi chiu unayouza haijakulipa?
Utakufa maskini fukara muuza cheuu
PesaNawewe chagua moja......
Chagua wema ndugu yangu......Pesa
Wema utakuletea chakula mezaniChagua wema ndugu yangu......
Alisha waambia nduguze akifa jumba lake libaki kama makumbusho......
pia alishawaambia kama akifa asizikwe haraka.
mpaka marafiki zake wote wanaotoka sehemu mbali mbali duniani wafike....
na siku ya mazishi wote wavae nguo nyeupe yyte atakayeshiriki msiba awe kiongozi awe nani!.... wote nyeupe...
msiba unaanza rasmi alhamisi anazikwa jmosi
duuh!huyu jamaa ni kama alijua anaelekea chini sio kwa maelekezo kama yote....
hii stori nimesikia kutoka kwa dada yake
Alikuwa na chawa wake a.k.a Vyawa Hawa hapaHii breakfast ya mayai 5, viazi na hizo soseji kama alimaliza yote peke yake lazima alihitaji choo cha Dolce & Gabbana!!
Afadhali...[emoji23][emoji23][emoji23] We uliona wapi Tajiri akawa peke yake? Alikuwa na chawa wake a.k.a Vyawa Hawa hapaView attachment 1624389View attachment 1624391
So huyu ndio mzee "Genious"View attachment 1624347
Nyumbani kwa Mzee Kadungure(Baba yake Ginimbi) akiwa na shangazi yake.
FLAMBOYANT businessman and socialite, Genius ‘Ginimbi’ Kadungure, Tuesday lost his mother.
Ginimbi’s mother, Juliana was admitted at a clinic in Harare.
According to sources, she lost a battle with cancer.
The socialite confirmed news of his mother’s death in a post on his Twitter page.
“Today it’s one of my darkest days in my life, but who am I to question God. I did all things that money can buy, but this thing called Life it is only God that gives it. My mother, my world is now in heaven. RIP,” he wrote.
Around this same time last year, he buried his younger brother, Andrew whom he sent off in a top notch funeral attended by high profile figures.
**Jamaa alitoa mpaka wakaisha
Apia!Kuna watu hawastahili kufa kabisa..
R.i.p G
Miss you too binamu. Naona akina Mwajuma ndala ndefu kumbe bado wapo JF kutwa kufurahia anguko la wenzao[emoji23][emoji23][emoji23] binamu I miss you
Labda warumi atuambie huyu alikuwa anajishugulisha na biashara gani?
Ila mm namuona kama mpigaji tu
Ova
Mara nyingi ila sio kwa wote(baadhi) ,watu wenye issue za kishirikina wanafanya maagano ya kutokuwa na mtoto!!Ex wife nasikia alimdanganya ana mtoto wake kuja kupima DNA ikajulikana mtoto si wake wakaachana, Naona aligawa kizazi , with all money sio kazi kwake kupata mtoto
Yaa jamaa alikuwa na vyente si mchezo....
Yaa jamaa alikuwa na vyente si mchezo....
ana gari nyingi za kifahari kuliko pea zangu za viatu ukichanganya na ndala za zamani na mpya haha haaa
DuhFLAMBOYANT businessman and socialite, Genius ‘Ginimbi’ Kadungure, Tuesday lost his mother.