Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
God's plan, hakuna mtu anaejua siri ya kifo chakeVijana wana nguvu lakini hawana akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
God's plan, hakuna mtu anaejua siri ya kifo chakeVijana wana nguvu lakini hawana akili
Dereva nae ni binadamu mistake moha tu chali, tutasema kwanink hakuendesha mwenyewe, God's plan ni siri kubwaJaman unakuwa na pesa kwanin usiendeshweena dereva ati
Hapo unaingilia kazi ya mwenyezi MunguKuna watu hawastahili kufa kabisa..
R.i.p G
Mungu hana formula hiyo kabisaKuna watu hawastahili kufa kabisa..
R.i.p G
Ndiyo hivyo mkuu kifo ulichopangiwa sio rahisi kuki escape hata uendeshe gari taratibu kiasi gani siku ikifika mzee you are gone, kwani atakua amekimbiza gari kwa mara ya kwanza itakua ni kawaida yake we angalia collection za gari zake ni za mwendo kasi so ni jambo la wakati tu,Yaani wewe kila siku uwe unaendesha gari rafu kana kwamba upo kwenye mashindano ya magari tena ukiwa umelewa chakari (mfano)halafu udai kuwa kifo chako ni God plan?!Kajifunze law moja inaitwa law of large number utagundua kuwa asilimia 99 ya vifo vya binadamu huwa wanasababisha wao wenyewe tena kwa kulazimisha kwa kutumia nguvu nyingi sana.
NajuaMungu hana formula hiyo kabisa
Zondwa wabantu wa mitaa ileeeee ya Kwa madibaZodwa si yule dada anaechezaga na kamguu kamoja huku kaachia kichupi chake na ana msambwanda hivi, code ndiyo hizo au nimekosea
😭😭Nimelia sana , ahsante ...
Hakuna cha God's plan .Waliambiwa aendeshe gari amelewa.Msinsingizie Mungu kwa vitu vya kujitakia.Kifo kinaepukika na sio kila kifo ni kazi ya Mungu.Unywe sumu useme siku yake ilifika ya niniGod's plan, hakuna mtu anaejua siri ya kifo chake
Anyway, ushauri wa bure kwa vijana , don't drink and drive
Mara nyingi haswa weekends, mlinzi mmoja maeneo hayo hua na kawaida kuondoka lindoni saa 11 alfajiri, na mida hio hua ndio jamaa hua anapita barabara hio akiwa Siku zote na speed Kali ..
Siku hio ya tukio kama kawaida kapita na spidi Kali na rolls Royce lake hilo akasikia mshindo, kwenda akamuona jamaa ana struggle kutoka, na kujaribu kuwafungulia wenzie kumbe milango ishakua jammed haifunguki. ..kuwakimbilia ili awasaidie pengine kuvunja vioo au vyovyote ndio mlipuko ikawa ndio basi
Namkubali sana yule mwanamke na zile swaga zake za kucheza kamguu kamoja juuZondwa wabantu wa mitaa ileeeee ya Kwa madiba
Unajua death formula wewee au umeamua kubisha tuHakuna cha God's plan .Waliambiwa aendeshe gari amelewa.Msinsingizie Mungu kwa vitu vya kujitakia.Kifo kinaepukika na sio kila kifo ni kazi ya Mungu.Unywe sumu useme siku yake ilifika ya nini
Unaweza kunywa sumu lakini pia usife unakubaliana nami? Ndiyo nasema sasa vifo vina formula kali na ni Mungu tu ajuae hiloHakuna cha God's plan .Waliambiwa aendeshe gari amelewa.Msinsingizie Mungu kwa vitu vya kujitakia.Kifo kinaepukika na sio kila kifo ni kazi ya Mungu.Unywe sumu useme siku yake ilifika ya nini
Sasa habari zote si zipo google? Wabongo Tunakuwa wajinga sana ndo maana na Kiongozi mliyechagua pia hakuna kitu kichwaniMkuu ulikuwa nao!? Umejuaje hayo!?
Usife we nani?Kuna watu hawastahili kufa kabisa..
R.i.p G
🤷Usife we nani?
Hata uwe na dolali kontena zima
Utavuta tu,Kifo kiboko ya mwanadamu
Ova
Papi ChuloWho is next????