TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Yaani wewe kila siku uwe unaendesha gari rafu kana kwamba upo kwenye mashindano ya magari tena ukiwa umelewa chakari (mfano)halafu udai kuwa kifo chako ni God plan?!Kajifunze law moja inaitwa law of large number utagundua kuwa asilimia 99 ya vifo vya binadamu huwa wanasababisha wao wenyewe tena kwa kulazimisha kwa kutumia nguvu nyingi sana.
Ndiyo hivyo mkuu kifo ulichopangiwa sio rahisi kuki escape hata uendeshe gari taratibu kiasi gani siku ikifika mzee you are gone, kwani atakua amekimbiza gari kwa mara ya kwanza itakua ni kawaida yake we angalia collection za gari zake ni za mwendo kasi so ni jambo la wakati tu,
 
Anyway, ushauri wa bure kwa vijana , don't drink and drive

Mara nyingi haswa weekends, mlinzi mmoja maeneo hayo hua na kawaida kuondoka lindoni saa 11 alfajiri, na mida hio hua ndio jamaa hua anapita barabara hio akiwa Siku zote na speed Kali ..

Siku hio ya tukio kama kawaida kapita na spidi Kali na rolls Royce lake hilo akasikia mshindo, kwenda akamuona jamaa ana struggle kutoka, na kujaribu kuwafungulia wenzie kumbe milango ishakua jammed haifunguki. ..kuwakimbilia ili awasaidie pengine kuvunja vioo au vyovyote ndio mlipuko ikawa ndio basi

Jaman hata hakuwa amelewa hivyo nimeona video akiwa ndio anaingia kwa gari aondoke akiwa mzima kabisa hata hajalewa
 
Hakuna cha God's plan .Waliambiwa aendeshe gari amelewa.Msinsingizie Mungu kwa vitu vya kujitakia.Kifo kinaepukika na sio kila kifo ni kazi ya Mungu.Unywe sumu useme siku yake ilifika ya nini
Unajua death formula wewee au umeamua kubisha tu
 
Hakuna cha God's plan .Waliambiwa aendeshe gari amelewa.Msinsingizie Mungu kwa vitu vya kujitakia.Kifo kinaepukika na sio kila kifo ni kazi ya Mungu.Unywe sumu useme siku yake ilifika ya nini
Unaweza kunywa sumu lakini pia usife unakubaliana nami? Ndiyo nasema sasa vifo vina formula kali na ni Mungu tu ajuae hilo
 
Pole zodwa na watoto! Pia familia ya mama mdogo moana na binti yake aliye muacha kijijini !
 
Back
Top Bottom