TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Watu wanajua mpaka sugamamy wake ni nani, mkewe ni nani, wanae ni akina nani, wanae wa kufikia ni akina nani, n.k.

Si ajabu wanajua hata saizi ya viatu alivyokuwa anavaa..
Kuna watu umbea ni ajira kwao
 
Socialite kutoka pande za Zimbabwe, ambaye pia ni mfanyabiashara tajiri, Ginimbi, amepata ajali mbaya Siku ya leo na kufariki dunia hapo hapo.

Mfanyabiashara huyo pia alikuwa Karibu na Zari the bosslady, Ginimbi alipata ajali hiyo alipokuwa akielekea kwenye birthday pa

Anyway, ushauri wa bure kwa vijana , don't drink and drive

Mara nyingi haswa weekends, mlinzi mmoja maeneo hayo hua na kawaida kuondoka lindoni saa 11 alfajiri, na mida hio hua ndio jamaa hua anapita barabara hio akiwa Siku zote na speed Kali ..

Siku hio ya tukio kama kawaida kapita na spidi Kali na rolls Royce lake hilo akasikia mshindo, kwenda akamuona jamaa ana struggle kutoka, na kujaribu kuwafungulia wenzie kumbe milango ishakua jammed haifunguki. ..kuwakimbilia ili awasaidie pengine kuvunja vioo au vyovyote ndio mlipuko ikawa ndio basi
 
Kifo cha mateso sana,Mumgu awapumzishe kwa amani.So sad
chukua tu mzigo kama unaupenda
nimeona dereva wa Honda fit kasurvive alafu majamaa wamevuta,ikifika siku yako hutoboi
genius-kadungure-crash-fit-1080.jpg
businessman-and-socialite-ginimbi-kadungure-dies-in-car-crash-after-party-at-nightclub-video-999x965.jpg
 
FLAMBOYANT businessman and socialite, Genius ‘Ginimbi’ Kadungure, Tuesday lost his mother.

Ginimbi’s mother, Juliana was admitted at a clinic in Harare.

According to sources, she lost a battle with cancer.

The socialite confirmed news of his mother’s death in a post on his Twitter page.

“Today it’s one of my darkest days in my life, but who am I to question God. I did all things that money can buy, but this thing called Life it is only God that gives it. My mother, my world is now in heaven. RIP,” he wrote.

Around this same time last year, he buried his younger brother, Andrew whom he sent off in a top notch funeral attended by high profile figures.
**Jamaa alitoa mpaka wakaisha
this time wakaamua wambebe na ye mwenyewe, pesa hizi!
 
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
 
Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.
Zodwa si yule dada anaechezaga na kamguu kamoja huku kaachia kichupi chake na ana msambwanda hivi, code ndiyo hizo au nimekosea
 
Back
Top Bottom