TANZIA Bilionea Ginimbi wa Zimbabwe afariki Dunia

Walikuwa mtu nne ndani ya hilo gari. Yeye na rafiki yake Mmalawi wakiwa na mademu baada ya kukesha wakinywa pombe. Alikuwa akiendesha kwa kasi. R.I.P
 
Daaaa namkubali sana Huyu jamaaa,rest in peace brother
 
Aliungua duuh[emoji26]
 
Kafara kama lotee
 
Ila jamaa alikula good time. Lakini hakuwahi kuelezea kuhusu kazi yake unaona mapichapicha tu ya good time
Hapo ndio shida huwa tunapenda kushabikia ila huwa hatujuwi chacho cha utajiri wote huu, sio dhambi kuwa tajiri ila unapokuwa tajiri katika umri mdogo lazima kutakuwa na red flag unafanya nini je kazi zako ni halali au chanzo nini kama wale vijana matajiri wa nje utasikia ndio muanzilishi wa Facebook au Yahoo muhimu wanajulikana lakini huku kwetu hasa Africa hatuhoji. anyway RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…