Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Poleni sana wafiwa, aliyesema alimkopesha 2000000, kama uko mbali nipe hizo pesa nipeleke chapchap kwa familia yake. Huo ni upendo wa aina yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anamgodi au apolo...mana wenye migodi ndio wanamiliki majengo mengi ar...kuanzia usa mpka ngaramtoni ghorofa kubwa hiyo barabara ni mali za wachimbaji au wanunuzi ...mfano njeree bistro,cet garden,nejeburg hotel,meru view,mountmeru hotel,pointzone hotel,sg resort,tripple A ,asmasi hotel,7up,hiyo mall opposite 7up etcNina mwanafamilia ana chimba mkuu, na amekua mkopaji mkubwa sana akipata hela anapotea
Hauwezi kusema yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua na hakuna aliyeweza hilo!Yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua,hakuna alieweza hilo...
Apumzike salama! Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ya kwamba - GOLD CREST na SNOW CREST ni hoteli za SERIKALI na huyo jamaa alikuwa ni AFISA WA SERIKALI.goldcrest ni kampuni n brand yake yeye marehemu,ndio tumemaliza kumzika
Jengo la goldcrest ni mali ya ppf,walijenga kwa ajili ya kukodishia watu hotel...kodi alikua analipa 90m kwa mwezi cnc ameichukua ikiwa imemalizika 2012....snowcrest sio mali ya serikali wala haijawahi kua aliekuambia alikukaririsha uwongo,hiyo goldcrest items zote ndani n club ametengeneza yeye,alikabidhiwa jengo tupuHauwezi kusema yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua na hakuna aliyeweza hilo!
Kwa sababu watu hawashindani KUPANGISHA! Watu wanashindana KUNUNUA NA KUJENGA!
GOLD CREST ilikuwepo tangu siku nyingi na majirani zake ndio MWANZA HOTEL [emoji545]. Na watu ambao wanamiliki hoteli ya MWANZA HOTEL [emoji545] ndio wanaomiliki hoteli ya KILIMANJARO HOTEL [emoji545].
Apumzike salama! Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ya kwamba - GOLD CREST na SNOW CREST ni hoteli za SERIKALI na huyo jamaa alikuwa ni AFISA WA SERIKALI.
Ni SERIKALI hiyo! Na hivyo ndivyo huwa wanafanya BIASHARA! Mambo mengine ni BOSHENI tu na watu wa aina hii tunao wengi sana mitaani.Jengo la goldcrest ni mali ya ppf,walijenga kwa ajili ya kukodishia watu hotel...kodi alikua analipa 90m kwa mwezi cnc ameichukua ikiwa imemalizika 2012....snowcrest sio mali ya serikali wala haijawahi kua aliekuambia alikukaririsha uwongo,hiyo goldcrest items zote ndani n club ametengeneza yeye,alikabidhiwa jengo tupu
Labda hao wa huko usukumani huyu humjui wala huna historia yake,nenda exim bank waulize matias ni nani watakupa jibuNi SERIKALI hiyo! Na hivyo ndivyo huwa wanafanya BIASHARA! Mambo mengine ni BOSHENI tu na watu wa aina hii tunao wengi sana mitaani.
Huwa wanatafuta shughuli moja iwe kama kiini macho halafu wanafanya BIASHARA. Huku MWANZA na SHINYANGA wameshaanza kufanya hii BIASHARA.
Kuna vijana wanafanya BIASHARA za almasi na ukifuatilia hata almasi hawapati, lakini wanashusha mijengo ya hatari na huwa wanawekewa mpaka WAHASIBU ambao watakuwa wanaidhinisha matumizi yote ya FEDHA.
Na watu wa aina hii wanaofanya hizi BIASHARA ZA SERIKALI huwa ni ASKARI KANZU na huyu jamaa wa GOLD CREST na SNOW CREST alikuwa ni ASKARI KANZU mwenye NYOTA MOJA.
Hata MERERANI mimi nipo! Ndio wenye kampuni inayoitwa [...].Labda hao wa huko usukumani huyu humjui wala huna historia yake,nenda exim bank waulize matias ni nani watakupa jibu
Labda mererani ya ushiromboHata MERERANI mimi nipo! Ndio wenye kampuni inayoitwa [...].
Hauwezi kusema yeye ndio mtu wa kwanza kuichukua na kuifungua na hakuna aliyeweza hilo!
Kwa sababu watu hawashindani KUPANGISHA! Watu wanashindana KUNUNUA NA KUJENGA!
GOLD CREST ilikuwepo tangu siku nyingi na majirani zake ndio MWANZA HOTEL 🏨. Na watu ambao wanamiliki hoteli ya MWANZA HOTEL 🏨 ndio wanaomiliki hoteli ya KILIMANJARO HOTEL 🏨.
Apumzike salama! Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ya kwamba - GOLD CREST na SNOW CREST ni hoteli za SERIKALI na huyo jamaa alikuwa ni AFISA WA SERIKALI.
Hivi miaka nane [ 8 ] iliyopita sio zamani? Mwaka 2012 au mwaka 2013 ambapo hilo jengo la GOLD CREST lilipokamilika tunaweza kusema leo? Sio zamani hiyo?Mkuu acha ubishi na ujuaji. Jengo ilipo Gold crest halikuwepo hio zamani unayosema na ilipojengwa tu akapangishwa Bwana Manga(hivyo yeye ndo wa kwanza kulitumia jengo hilo)
Natumaini hutasema gold crest ya zamani kuizidi Mwanza hotel
Hivi ni nani anayemiliki kampuni ya KILIMANJARO MINING? Nauliza tu! Kuuliza sio ujinga!Labda mererani ya ushirombo
Hivi miaka nane [ 8 ] iliyopita sio zamani? Mwaka 2012 au mwaka 2013 ambapo hilo jengo la GOLD CREST lilipokamilika tunaweza kusema leo? Sio zamani hiyo?
Hoteli ya MWANZA HOTEL 🏨 ilikuwepo tangu siku nyingi na wamiliki wa hoteli ya MWANZA HOTEL 🏨 ndio wamiliki wa hoteli ya KILIMANJARO HOTEL 🏨 waliopangishwa HYATT REGENCY.
Kwahiyo unapozungumzia wamiliki halali wa hoteli binafsi, wamiliki binafsi wanafahamiana na wapangaji wanafahamiana vile vile. Hiyo GOLD CREST ni jengo la SERIKALI na MWANZA HOTEL 🏨 ni hoteli ya mtu binafsi.
Yule alikuwa ni MPANGAJI tu! Fanyeni utaratibu wa kwenda kuchukua FENICHA 😂😂😂Hio sio zamani na uzi unahusu gold crest ila kwa ukuaji unakimbilia mwanza hotel. Mkuu punguza ujuaji.
Yule alikuwa ni MPANGAJI tu! Fanyeni utaratibu wa kwenda kuchukua FENICHA 😂😂😂
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kwamba - wamiliki halali wa hoteli wanafahamiana.
Kwahiyo WAPANGAJI mtulie! Na hiyo ndio TANZANIA 🇹🇿, hata wenye FEDHA wanafahamiana vile vile!
Wewe umetoka porini huko, unakuja MJINI anatuambia umepiga MAWE ya BILIONI 15! Aah wapi! Hata hizo BILIONI 15 zenyewe hamzifahamu!
Wakati wanaume wameweka GUARD kuanzia shimoni mpaka getini! Utamdanganya nani! Watu wengine huwa wanasafisha pesa tu.
Sasa wewe tatizo lako ni nini? Yaani mimi najaribu kuwaeleza UKWELI kwa sababu sasa hivi tuna muda wa kutosha! COVID-19 ikiisha hutaona mtu humu!Mkuu tangu mwanzo umeambiwa pale amepanga na kodi alikua analipa sioni unachobishania.
NI KWELI ALIKUA MPANGAJI,YAANI JENGO KAANZA KUTUMIA YEYE LIKIWA JIPYA
Lile jengo mtu yeyeote anaweza kupanga na kubadilisha matumizi yake kulingana na biashara husika
Sasa wewe tatizo lako ni nini? Yaani mimi najaribu kuwaeleza UKWELI kwa sababu sasa hivi tuna muda wa kutosha! COVID-19 ikiisha hutaona mtu humu!
Na TANZANIA 🇹🇿 ni ndogo sana, hauwezi kusema UONGO
wala KUDANGANYA hasa kwenye mambo kama haya.
Wamiliki halali wa makampuni binafsi wanafahamiana! Wamiliki halali wa hoteli wanafahamiana! Na wamiliki halali wa FEDHA wanafahamiana vile vile.
Hauwezi ukatoka mtu from nowhere, halafu ukasema ni BILIONEA! Hakuna kitu kama hicho! Hakuna maisha mepesi ya namna hiyo!
Sasa hivi ASKARI wapo kila sehemu, huhitaji ELIMU kutambua hilo. Na kampuni zinazoendeshwa kwa namna hii, zipo nyingi! Mtu anakuwa hayupo huru na matumizi ya pesa zake kwa sababu na yeye anakuwa amewekwa kama mfanyakazi tu!
Hata sijakuelewaDaah kwa wako vizuri kwenye kusimamia shoo vya vidole mkuu?? Wanasugua mpaka inatoa Moshi baada ya lubricant yote kukauka [emoji12][emoji12]
Halafu wewe kama sikosei itakuwa ni jinsia ya kike! Kajipe pole na mashoga zako huko!!Mbona povu lote hilo mkuu kisa Mr Manga kuitwa Bilionea aiseee pole
Halafu wewe kama sikosei itakuwa ni jinsia ya kike! Kajipe pole na mashoga zako huko!!
Eti shosti!! Toka lini mimi nimekuwa shosti wako 😆😆Sio itakua bali ni jinsia ya kike. Punguza povu shosti